Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Guys tupumzike ili kesho watakaopata nafasi wanaweza kuichambua hii game hatua kwa hatua japo mimi nilikuwa siamini kabisa kama Barca wanaweza kutufunga kwa idadi ya mabao yoyote, kama tungefungwa hii game basi ingekuwa kwa matuta baada ya ubao kusoma dk 120.

Niliamini game ingekuwa ngumu sana, hii Barca iliyotufunga sio ile ambayo naijua mimi... Barca hii ni dhaifu ikikutana na timu inayoweza kutulia na mpira, Barca wanakufa!

United kinachotugharimu ni uzembe na kukosa utulivu kwa wachezaji, kuna wakati na miss sana life style aliyokuwa anaishi Jose pale United, watu wanajiandaa kwenda kwenye game, lakini hakuna mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza... Yale maisha ya Jose ni bora kuliko maisha tunayoishi sasa hatuna amani, ukiona list ya kikosi cha kwanza unabaki mdomo wazi. Wachezaji wanaotakiwa kupewa nafasi kwenye game muhimu wanachomeshwa mahindi dah leo nimepata maumivu makubwa sana!
Man U ya mwaka gani ingeifunga Barcelona?

Tatizo la mashabiki wa Man U ndio hili. Wakifungwa tu wanageuka wachambuzi.
 
Guys tupumzike ili kesho watakaopata nafasi wanaweza kuichambua hii game hatua kwa hatua japo mimi nilikuwa siamini kabisa kama Barca wanaweza kutufunga kwa idadi ya mabao yoyote, kama tungefungwa hii game basi ingekuwa kwa matuta baada ya ubao kusoma dk 120.

Niliamini game ingekuwa ngumu sana, hii Barca iliyotufunga sio ile ambayo naijua mimi... Barca hii ni dhaifu ikikutana na timu inayoweza kutulia na mpira, Barca wanakufa!

United kinachotugharimu ni uzembe na kukosa utulivu kwa wachezaji, kuna wakati na miss sana life style aliyokuwa anaishi Jose pale United, watu wanajiandaa kwenda kwenye game, lakini hakuna mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza... Yale maisha ya Jose ni bora kuliko maisha tunayoishi sasa hatuna amani, ukiona list ya kikosi cha kwanza unabaki mdomo wazi. Wachezaji wanaotakiwa kupewa nafasi kwenye game muhimu wanachomeshwa mahindi dah leo nimepata maumivu makubwa sana!
Hahahaha utoe draw na Barca unapogba anaanzishiwa mpira na degea anapiga shuti kumjaribu terstergen?
Ndyo ujue uchambuzi wako ni wa kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi siku zote anafanya mpiraaa uonekane rahisi,, chuki binafsi haifai.. Kipa gani hajammtoboa hadi sasa?
Messi anatapa sifa za bure tu kwa mabao ya kisenge dah nimeumia sana!
 
Back
Top Bottom