nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,478
- 11,169
subiri mkuu, si tupo hapa!Never ob earth
subiri mkuu, si tupo hapa!Never ob earth
Mpaka sasa umeshajua kwa nini alikuwa anaoneshwa.
Mimi sina hofu na matokeo yoyote hapo uwanjani maana tayari mpira haujaanza nina matokeo yangu mfukoni........
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushauri wako ni nini?Mwenzako ana messi suarez na coutinho wewe una martial rashford na lingrd kweli??? Nilishasema leo tunapigwa tena na epl hatuingii top four
Sent from my iPhone using JamiiForums
Leo mess anatupiga tatu..this match z too heavy for us
Imani nyengine zinataka moyo!


