tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,191
- 29,749
Upo sahihi mno
Degea anaweza ingia kama goal keeper namba 3Naendelea kufatilia hii mechi simwoni mchezaji wetu hata mmoja anaeingia kwenye kikosi cha barca sasa hata mmoja.
Hawa wachezaji wetu hawana uwezo kabisa hawatulii na mpira hawafungui ni kama vile hawajawai kucheza pamoja nk
Barca naomba mtupige vizuri ili mashabiki wafinguke macho na waache kuwapaisha wachezaji wetu wakati ni uozo mtupu man u kutid kwenye ubora inabid tussjili upya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usijifiche kwa juve
Umekuwa mshehereshaji tu sasa
Hivi jamani naruhusiwa kuiita Man Utd Dhaifu..?![]()
Mnagona sababu ya nn wakuu?Mkuu maneno yako yapi
Mbona unataka uoneshe kama ulitabiri ubora wa Barca wakati hata mtoto mdogo ungemuuliza angesema Barca ni bora
Labda tofauti yako na wengine, ni kwamba wengine wamebaki na imani kwamba lolote linaweza kutokea lakini wewe huamini
Ndio maana mechi PSG pia ulifeli kwenye utabiri wako, ndio maana na Juve kule Italy pia ulifeli kwenye utabiri wako maana kwa mtazamo wako najua ulisema Man atapigwa hizo mechi 2
Sent using Jamii Forums mobile app
CAG achunguze ilo suara mara mojaSasa Ole ile nauli aliyotumia kuja kuitazama barca na atletico si amefanya ubadhilifu...
sometimes yes sometimes no
Wanaanza kumtukana na kochaMan U wakifungwa hua wanageuka kua wachambuzi.
Sema mpira wa miguu ni shida kwako. Huna uelewa wa kutosha.Hata enzi za mitume kuna unabii haukutimia
Mkuu mimi nawaomba barca watupige ata tano ili watu washtuke usingizini man u ya sasa ni uchafu mtupu timu inabid ipigwe ili tujue tuna matatizo kibao leo naomba ata bahati uwe upande wa barca watufunge kisawasawa
Huwezi kuwa mshindani na kikosi na wachezaji wapuuzi kama wetu
Eti huyu young ni wa kumuongezea mkataba mpya kweli??, martial??? Eyi rashford nae anadai mshahara mkubwa shubamiit ungeseungese tu wanafsnya uwanjani!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu maneno yako yapi
Mbona unataka uoneshe kama ulitabiri ubora wa Barca wakati hata mtoto mdogo ungemuuliza angesema Barca ni bora
Labda tofauti yako na wengine, ni kwamba wengine wamebaki na imani kwamba lolote linaweza kutokea lakini wewe huamini
Ndio maana mechi PSG pia ulifeli kwenye utabiri wako, ndio maana na Juve kule Italy pia ulifeli kwenye utabiri wako maana kwa mtazamo wako najua ulisema Man atapigwa hizo mechi 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha timu yetu haifundishi wachezaji kukaa na mpira zaidi Bali kukimbia kimbia zaidi. Hizi ni falsafa za ferg na huyu amezileta kwenye zama hizi,tusitegemee kuwa comfortable tutapocheza na timu zinazomiliki zaidi mpiraNaendelea kufatilia hii mechi simwoni mchezaji wetu hata mmoja anaeingia kwenye kikosi cha barca sasa hata mmoja.