Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naendelea kufatilia hii mechi simwoni mchezaji wetu hata mmoja anaeingia kwenye kikosi cha barca sasa hata mmoja.
Hawa wachezaji wetu hawana uwezo kabisa hawatulii na mpira hawafungui ni kama vile hawajawai kucheza pamoja nk

Barca naomba mtupige vizuri ili mashabiki wafinguke macho na waache kuwapaisha wachezaji wetu wakati ni uozo mtupu man u kutid kwenye ubora inabid tussjili upya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pereira ni mzuri kumshinda Fred kwenye hiyo nafasi??..gemu gani aliyoprove hilo??
Hivi kweli Fred anamuweka nje Pereira? Lingard anamuweka nje Mata? Na Rashford anamuweka nje Lukaku? duh!
 
Man 0 Barca 2 (Messi Double) = Halftime
Goli la pili, DeGea kiwango kinashuka au!
 
Mkuu ushauri wako ni nini?
Tutoe timu nje?

Sent using simu mbovu

Mkuu mimi nawaomba barca watupige ata tano ili watu washtuke usingizini man u ya sasa ni uchafu mtupu timu inabid ipigwe ili tujue tuna matatizo kibao leo naomba ata bahati uwe upande wa barca watufunge kisawasawa

Huwezi kuwa mshindani na kikosi na wachezaji wapuuzi kama wetu

Eti huyu young ni wa kumuongezea mkataba mpya kweli??, martial??? Eyi rashford nae anadai mshahara mkubwa shubamiit ungeseungese tu wanafsnya uwanjani!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uzuri ukweli utaonekana tu ni mda leo mtaamini maneno yangu man u haina uwezo wa kupambana na barca


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu maneno yako yapi

Mbona unataka uoneshe kama ulitabiri ubora wa Barca wakati hata mtoto mdogo ungemuuliza angesema Barca ni bora

Labda tofauti yako na wengine, ni kwamba wengine wamebaki na imani kwamba lolote linaweza kutokea lakini wewe huamini

Ndio maana mechi PSG pia ulifeli kwenye utabiri wako, ndio maana na Juve kule Italy pia ulifeli kwenye utabiri wako maana kwa mtazamo wako najua ulisema Man atapigwa hizo mechi 2



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom