Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazee nadhani lukaku angeanza. Ila poa ngoja tuone
Screenshot_20190416-210743.jpg
 
Mendy anapiga kross lakini vipi kuhusu umakini wa hizo krosi, ninachoongelea ni krosi za maana

Kuna mtu amekuja na hoja kuwa Mendy ametoa assist nyingi japo kacheza mechi chache, ni kweli lakini hiyo ni down to City's style of play and not Mendy's brilliance.

Kwa mfumo wa City hata Delph anaweza mzidi Shaw assists, je Delph ni mkali kuliko Shaw kule kushoto. Kwa mfumo wa United Pogba siku za nyuma alionekana si lolote, si chochote vipi kuhusu mfumo wa sasa na majukumu aliyopewa?

Kwamba akina sterling wanatupia tu magoli sababu ya Mendy!! Kati ya wapika mabao City huyo Mendy hayumo kabisa



Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee ndio maana nakwambia mendy humjui jamaa anapiga kross nyingi na za maana na ni very dangerous sijui nikueleze vip uweze kunielewa tatizo msimu huu kaumia mapema sana so itakuwa hujamfatilia.

Pia kusema ubora wa mendy unchangiwa na style of play ya mancity sio kweli kwa sababu mendy alikuwa bora kuliko ksbla hata hajaja mancity unataka kuniambia huko alikotoka walichexa sawa kama mancity wanavyocheza?? Pia mbona huyo fabian delph hamimini majalo na kuasists kama mendy ilihali wanachexa no moja???

Katika wapika mabao wa mancity huwezi kumuona mendy kwa sababu ni majeruhi !!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi ndugu zangu mashabiki wenzangu wa man u ashley young mnamuonsje?? Mimi sina imani nae tena hashindwi kutoa penati au kula ata umeme daaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah.... Kuna watu wamenichekesha sana humu

Eti kocha apumzishe wachezaji kwa ajili ya top 4 race, dhidi ya Everton

Wachezaji wanaishi maisha yao ili siku moja waje wacheze dhidi ya Man Utd, Real Madrid, Barca n.k. Halafu leo unasema kocha awapumzishe

Yaani kocha awapumzishe wachezaji, ili waende kucheza mechi ya ligi, ili wakishinda waende kucheza kwenye hayo mashindano wanayopumzishwa!!!! Sijui hapa nimeeleweka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom