ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Man 0 Barca 2 (Messi Double) = Halftime
Goli la pili, DeGea kiwango kinashuka au!
Na ndio maana wadau wenzangu niliwaambia sitaangalia game zote home and away maana matokeo tayari ninayo mfukoniWakati timu zimepangwa nani akutane na nani kuna hii kitu ikatokea Man U vs Barca. Naimani kila mmoja wetu alitegemea haya yaliyotokea yaani Man kubaki na Barca kuendelea.....
Kinyume na hapo ilikua ni maneno au hisia za kishabiki tu AU kutegemea maajabu ya Soccer kutokea ili Barca abaki na Man kwenda......
Hongereni kwa hatua mliyokua mmefikia maana % kubwa hawakutegemea kama mngefika robo fainal ya UC
Ss hv Mourinho atakuwa anakula tu kuku kwa mrija akiendelea kuonekana kuwa alikuwa sahihi kushindwa kuutafuta mfupa ulioushinda fisi kiufundishaji "Man U"Ukweli ni kwamba Barca wametuzidi kila kitu mkuu.
Udhaifu wa Ole ni kuviamini sana hivyo vitoto.
Hahaaaaa nimecheka sana ,hawa jamaa wana mdomo sana, sasa kwenye EPL watabak hapo hapo namba 6Smalling akajinadi "Kuna kitu nimekigundua kwa Messi, nimeshapata dawa yake"
Gem inaanza.
Barca wanaoneshwa watatumia 4-3-3.
Mara Man U wanaoneshwa watatumia 4-3-3 pia.
Nikasema "Hawa mbuzi hawaijui Barca"
Gem ikaanza kwa mkwara.
Mambuzi yanajifanya yanashambulia.
Ole Sendeka akaoneshwa anajichekesha nje.
Vyuma vilivyoanza kuingia nikashangaa kugundua kumbe unaweza kupaki basi huku unatumia 4-3-3.
Nafurahi ile penati ilikataliwa ingekubaliwa mbuzi wangeishikilia kama sababu ya kufungwa.
Naomba tukumbuke kua ball possession Barca ni 67% na Man ni 37%. Mpaka dakika ya 75 Barca walikua wamepiga pasi 441 na Man u 224.
Goli la pili alilofungwa De Gea angepiga mchezaji mwingine yeyote yule angedaka. Na sifa angepewa kama kawaida.
Tatizo aliyepiga ni MESSI.
Piga Mbuzi hawa
Hahaaaaaaaaa kwahiyo ulikuwa tayari una matokeo mfukoni kama kamanda mbowe kwenye chaguz za kanda, huwa anakuja na jina mfukonNa ndio maana wadau wenzangu niliwaambia sitaangalia game zote home and away maana matokeo tayari ninayo mfukoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yake na mechi zote nimezifuatilia fotmobHahaaaaaaaaa kwahiyo ulikuwa tayari una matokeo mfukoni kama kamanda mbowe kwenye chaguz za kanda, huwa anakuja na jina mfukon
kweli tumeona maajabuWewe shabiki wa Tanzania unasema hivi wenzio wamelipa pesa Waka one maajabu leo....football haina unafki sema hamuangaliagi soka leo ukibahatika angalia uone nini kitatokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante jirani na hasimu,Wakati timu zimepangwa nani akutane na nani kuna hii kitu ikatokea Man U vs Barca. Naimani kila mmoja wetu alitegemea haya yaliyotokea yaani Man kubaki na Barca kuendelea.....
Kinyume na hapo ilikua ni maneno au hisia za kishabiki tu AU kutegemea maajabu ya Soccer kutokea ili Barca abaki na Man kwenda......
Hongereni kwa hatua mliyokua mmefikia maana % kubwa hawakutegemea kama mngefika robo fainal ya UC
Guys tupumzike ili kesho watakaopata nafasi wanaweza kuichambua hii game hatua kwa hatua japo mimi nilikuwa siamini kabisa kama Barca wanaweza kutufunga kwa idadi ya mabao yoyote, kama tungefungwa hii game basi ingekuwa kwa matuta baada ya ubao kusoma dk 120.
Niliamini game ingekuwa ngumu sana, hii Barca iliyotufunga sio ile ambayo naijua mimi... Barca hii ni dhaifu ikikutana na timu inayoweza kutulia na mpira, Barca wanakufa!
United kinachotugharimu ni uzembe na kukosa utulivu kwa wachezaji, kuna wakati na miss sana life style aliyokuwa anaishi Jose pale United, watu wanajiandaa kwenda kwenye game, lakini hakuna mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza... Yale maisha ya Jose ni bora kuliko maisha tunayoishi sasa hatuna amani, ukiona list ya kikosi cha kwanza unabaki mdomo wazi. Wachezaji wanaotakiwa kupewa nafasi kwenye game muhimu wanachomeshwa mahindi dah leo nimepata maumivu makubwa sana!
😂😂Asante jirani na hasimu,
Niwatakie safari njema hadi final.
Sent using simu mbovu
Tatizo mkishinda game mbili tu haya yote mnayasahau na hao hao wachezaji mnaanza kuwasifuKuanza upya si ujinga. Ujeruman wamewahi kuvunja timu wakaanza upya.
Man u karibia kikosi chote ni average. Isipokuwa pogba na degea. The rest ni wa kuondoshwa
Sent using Jamii Forums mobile app