The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Leo ni 8
Siyo Barca tu hata Newcastle.Uzuri ukweli utaonekana tu ni mda leo mtaamini maneno yangu man u haina uwezo wa kupambana na barca
Sent from my iPhone using JamiiForums
Solskjaer OUT!Nyinyi man u tuliwaambiaga mourinho si tatizo, tatizo ni michezaji yenu hiyo haina viwango
sasa leo munabugizwa 6-0
Wamekimbia jukwaa lao.Nyinyi man u tuliwaambiaga mourinho si tatizo, tatizo ni michezaji yenu hiyo haina viwango
sasa leo munabugizwa 6-0
Nimekunukuu.
Utaratibu wa mazishi hapa upoje?? Mtasafirisha au mtazika kulekule??
Na mshamuaandaa mbuzi wa kafara(mchezaj wa kupewa lawama) katika huu msiba??
Sent using Jamii Forums mobile app