The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Man utd haishind mech ya leo!!!
Nimeshangaa sana jamaa anaposema Mendy hapig kross vzr,
Huyo Mendy akipiga kross unaweza kupuliza na upepo ukaingia golini,
Pamoja na majeruhi ana assist za kutosha, ni moja kati ya mafullback bora EPL,kwa mechi chache tu alizocheza
Yohana 3:16
Man utd haishind mech ya leo!!!


Leo atauwasha moto hapaViongozi Wenzangu Nadhani Munajuwa fika kuwa Ollachuga Oc Amejipiga Ban tokea J2 ya Juzi.
Sasa Subirini Mziki Wake Mutauona leo hapa atakapoibuka Kutoka Mafichoni![]()
![]()
Leo atauwasha moto hapa
Yohana 3:16
Yaani unataka tupumzishe wachezaji kwenye quarter final vs barcelona ,kwa ajili ya kugombania top 4??Nadhani tungepumzisha key players kwa ajili ya kugombea top 4 kuliko kujitia tunaweza kupishana na barca yenye messi ndani,mechi ambayo hata tukishinda tumebahatisha.
Hahah jama anawaza nn huyuYaani unataka tupumzishe wachezaji kwenye quarter final vs barcelona ,kwa ajili ya kugombania top 4??
Sent using simu mbovu
Shaw anaweza mzidi mendy defensively,Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyocheza
Kuhusu majeraha, hata Shaw majeraha yamemrudisha nyuma sana
Shaw anapaswa aongeze efficiency kwenye kupiga krosi, eneo ambalo hata Mendy hayupo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mendy angekuwa mzuri kiasi hicho City wasingeingia sokoni kumtaja Ben chill well na kitakacho kuniweka mendy sokoni..... Mnabwabwaja hamjui soka wala nini wakuu mnaongea kishabiki sana.... Mendy ni kati ya weakness kubwa ya city jamaa hawezi defend kwakiasi hicho na anaassist nyingi sababu ya mchezo wanaocheza city tu ila sio Kama anauwezo wa juuNimeshangaa sana jamaa anaposema Mendy hapig kross vzr,
Huyo Mendy akipiga kross unaweza kupuliza na upepo ukaingia golini,
Pamoja na majeruhi ana assist za kutosha, ni moja kati ya mafullback bora EPL,kwa mechi chache tu alizocheza
Yohana 3:16
Wewe shabiki wa Tanzania unasema hivi wenzio wamelipa pesa Waka one maajabu leo....football haina unafki sema hamuangaliagi soka leo ukibahatika angalia uone nini kitatokeaNadhani tungepumzisha key players kwa ajili ya kugombea top 4 kuliko kujitia tunaweza kupishana na barca yenye messi ndani,mechi ambayo hata tukishinda tumebahatisha.
Shabiki gani huyo ameipa sifa Man united..
Ni nani hajui Lingard ni mchezaji wa kawaida??
Tunaposema humu ndani kuwa tunataka wachezaji kama watano na kuendelea unakuwa hujui lengo letu au??
Na kingine timu haijengwi tu na world class players..Lazima pia kocha awe mwalimu kweli wa soka na sio muungaji muungaji tu..
Mendy angekuwa mzuri kiasi hicho City wasingeingia sokoni kumtaja Ben chill well na kitakacho kuniweka mendy sokoni..... Mnabwabwaja hamjui soka wala nini wakuu mnaongea kishabiki sana.... Mendy ni kati ya weakness kubwa ya city jamaa hawezi defend kwakiasi hicho na anaassist nyingi sababu ya mchezo wanaocheza city tu ila sio Kama anauwezo wa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4 ni kwa ajili ya UEFA, sasa humo humo na tena quarter final, unataka utoke kwa ajili ya gamble ya mwakani???Yaani unataka tupumzishe wachezaji kwenye quarter final vs barcelona ,kwa ajili ya kugombania top 4??
Sent using simu mbovu
Mkuu utakuwa humjui benj mendy vizuri wewe mendy hayupo vizuri kwenye kross??? Mzee utakuwa ni shabiki ukiekubuhu jamaa anapiga kross nyingi mno kwenye mechi moja kuliko left back yoyote epl pale ndani ya mechi moja. Tena kross zake ni za chini na hao kina sterling kaz yao ni kutap in tu.
Kuhusu majeruhi namaanisha msimu huu mendy hujamwona kabisa nadhan kacheza mechi sita au saba tu za ligi wakati huyu wetu luke shaw kacheza mechi karibu zote za ligi.
Embu nikuulize swali lingine kati ya lucas digne wa everton na huyu shaw wetu kwa msimu huu unamvhukua nani kama kweli unajua ubora wa left backs??
Na ukae ukijua france aliitwa mendy ambae alikuwa hajapona vizuri akaachwa huyo lucas digne
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ben chillwell anatakiwa kwa kuwa Mendy ni injury prone ,Mendy angekuwa mzuri kiasi hicho City wasingeingia sokoni kumtaja Ben chill well na kitakacho kuniweka mendy sokoni..... Mnabwabwaja hamjui soka wala nini wakuu mnaongea kishabiki sana.... Mendy ni kati ya weakness kubwa ya city jamaa hawezi defend kwakiasi hicho na anaassist nyingi sababu ya mchezo wanaocheza city tu ila sio Kama anauwezo wa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho ninachomuuliza jamaa, aliyesema tuachane na quarter finalTop 4 ni kwa ajili ya UEFA, sasa humo humo na tena quarter final, unataka utoke kwa ajili ya gamble ya mwakani???
Sent using Jamii Forums mobile app