HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,724
- 7,298
Katika mechi 38 zimeshapigwa mechi 10 (38-10=28). Tumebakiwa na mechi 28
Mechi 3 hadi 5 za mzuka wa kocha mpya zitabaki mechi 23 hivi
Nyumbu hawawez kuvumilia hizo mechi zote 28 za vipigo na draw
Mwezi wa tatu kwenda mwezi wa nne atapokea kocha mwingine kijiti
Ni mwendo wa kulaani tu hizi nyumbuz kwa kwenda mbele 😀😀😀