Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mendy angekuwa mzuri kiasi hicho City wasingeingia sokoni kumtaja Ben chill well na kitakacho kuniweka mendy sokoni..... Mnabwabwaja hamjui soka wala nini wakuu mnaongea kishabiki sana.... Mendy ni kati ya weakness kubwa ya city jamaa hawezi defend kwakiasi hicho na anaassist nyingi sababu ya mchezo wanaocheza city tu ila sio Kama anauwezo wa juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani umejibiwa vyema na Wadau kuwa PEP anaingia Sokoni kwasababu ya injuries za kudumu za Mendy.
 
Back
Top Bottom