Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Mourinho kafika mwisho wake, kama hawezi kuwafunga Sevilla atamfunga nani?
Kiukweli kwa manufaa ya pande zote, Man Utd na Mourinho inabidi mwisho wa msimu mkataba wao uvunjwe
Ni ngumu sana kwa uchezaji huu Man Utd chini ya Mourinho, hii timu kuja ku dominate ligi achana na Champions League; huko ni mbali sana
Kuabzia sasa naunga mkono kufukuzwa jwa Mou
Leo lawama zangu zote kwa kocha tumepoteza hii game kwa ujinga wake hakukuwa na sababu ya kumuingiza pogba sana sana alipaswa atoke Sanchez aingie martial/mata
KUANZIA SASA NAUNGA MKONO MOU KUFUKUZWA.
Shida ilianzia dakika ya 60 baada tu ya Sub ya kwanza Pogba for Fellaini, kila kitu kilivurugika hapa.
Mourinho katutoa UEFA, kuanzia kwenye kupanga kikosi mpaka kwenye uchezaji.
Huyu kocha wetu bure kabisa,,,anyway amevuna alichopanda
Hawahawa Utd Fans subiri mechi na Man City washinde uje uzisikie kauli zao juu ya Mourinho. Oooh baki na statistics zako sisi tunaangalia ubao, mara ooh dogo kamuweka mtu mfukoni Mourinho anainua makinda, mara ooh bingwa wa mbinu za ushindi Nk. Yaani huwa hamueleweki nyie.Kama hujaona kosa la mourinho hustahili kuoneshwa kosa la mourinho katika mechi ya Leo
Mou toka yupo Chelsea mpira wake ukaanza kueleweka na ndipo alipoanza kuprove failure. wachezaji mnao kocha hamuna, mna msimamizi wa mazoezi. Mimi nasubiri game yenu na City nione kitakachotokea kwa Mou na reaction yenu juu yake.
