Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama uliona na kuchambua game ya Liverpool ungenusa hii ya leo!
Liverpool bao zote mbili KAJIFUNGA kwa makosa ambayo ni ya kipuuzi sana!
Hamna bao lolote la Rashford lililokuwa limetengenezwa
Ukikutana na beki kama Mercado na wenzake ambao makosa ni very rare huwezi shinda!
Man U ya sasa inategemea vitu viwili kushinda
(1)Uhodari wa kipa wake De Gea
(2)Team pinzani ifanye silly mistake(s)
Mnatakiwa sasa mbadirike,mcheze mpira!
Ukweli mtupu
 
Ninachoamini ni kwamba Mournho anatembelea kivuli chake cha zamani ila kiuwezo Wa kufundisha mpira hana jipya kilichobaki ni kubahatisha tu na jitihada za wachezaji. Ktk makocha wote wakubwa duniani Jose ndo anacheza mpira mbovu sana. Timu haina muunganiko Wa kueleweka kati ya kiungo cha kati na safu ya ushambuliaji,tunategemea zaidi mipira ya kupigwa na kipa ndo imfikie mshambuliaji.
Kila Mwezi mchezaji bora wa club tuzo inaenda kwa Kipa (De gea)

Inaonyesha ni jinsi gani timu ilivo na idara mbovu ya ulinzi,ushambuliaj na kiungo.

Timu inabebwa na saves za kipa
 
Hata mkisema sijui tusubiri Next Season Hakuna jipya Falsafa na Mfumo wenu nihuo huo hautabadilika labda mfukuze Kocha Mlianza kupaki Bus kwenye Big Match sasa hivi mpaka Mechi ndogo niBus Inaonekana hii tabia imepea kama ngozi ya Kenge
 
Kila Mwezi mchezaji bora wa club tuzo inaenda kwa Kipa (De gea)

Inaonyesha ni jinsi gani timu ilivo na idara mbovu ya ulinzi,ushambuliaj na kiungo.

Timu inabebwa na saves za kipa
Umenena vema ndugu
 
Wiki hii mou ataisoma namba hakyanan!!! kila mtu atamponda!!

Gemu ya leo imefunika ushindi wetu kwa liva!!
 
Mjipange kukutana na sisi mtaa wa 6 msimu ujao

Naona leo unafuraha SANA kuliko siku ambayo Eagles iliifunga Patriots

Nafasi ya 6? mkuu utani huo, huoni huo mlima wa tofauti ya points zilizopo hapo kati ya mtu wa 2 na wa 6

Naona leo mpaka Malafyale kaibuka, kweli Utd inafuatiliwa sana hapa Duniani

*Tofauti ya mtu wa 6 na wa 7 ni points 3, halafu wa 7 yupo vizuri sana
 
Mm muungwana
Mekuja kuwafariji
Poleni sana
Ndiyo soka!
 
Back
Top Bottom