Nilikuwa najiuliza wanaotaka pogba acheze hii game nahisi wameyaona matokeo yakeMkuu umejua mpira juzi, mechi hizi wanatakiwa watu wagumu. Valencia.Baily.Young.Smalling.Matic.Fellaini.Herera kama angekuwepo. Pogba hawatakiwi watoto hapa ndio maana habari za kina Lindelof. Show huzisikii leo, huyo McTominay kawekwa hapo ushahidi kamwe hataingia leo labda kuwe na majeruhi.
Kalale zakoo Mkuu maombii yakoo yametimiaaaaNyie Sevilla hebu wakojoleeni hao mashetani kagoli kamoja mie nizime TV nilale zangu.
Sawasawa hata hili pia limetokea pembeniMagoli yetu yatatokea pembeni
