Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

23435214_2058618497488581_2330789458119135994_n.jpg
 
Sanchez anacheza vizur sana akiwa na mata katikati scott na matic timu inakuwa na muunganiko mzur sana ila hii ya matic na fellain mpya kabisa sevilla walitawala sana katkat
 
kunya utaendelea kunya maisha yako yote hadi unaingia kaburini,,na wakati ukiendelea kufanya tendo hilo la digestion manchester the reds devils wataendelea kutoa vipigo na makombe watachukua tukianzia leo
Hahahaaaa
 
Walipomfunga Liverpool Walijiona Ndiyo Wana Bonge la Timu la Kupambana popote na Wakajiaminisha Kuwa Mourinho Ni Kocha Asiyeshindwa na lolote.
Kumbe Hawajui Kuwa Hile ilikuwa Ni Derby huwezi ukaifanya Kuwa Ndiyo Kipimo cha Ubora Wa Timu.
Liver na man ni derby??? Au sijui maana ya derby!!!
 
Lingard Ni Muingereza lazima awe overrated mbele ya Mata.
Kila siku naumia sana kuona mata anakaa bench mchezaj anaeongoza kwa assist toka mwaka 2014 ni mata ndani ya manchester united mchezaj aliecheza mech kubwa vizur ni mata ndani ya timu yetu fellain hata kuteneneza mpira mmoja hawez lakin anaanza hata kukokota mpira shida sijui kampanga kutibua nini wakat mech tunahitaj ushindu
 
Back
Top Bottom