Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila ni ukweli pia usiopingika kwamba Mou huwa haamini sana vijana Wa kuwaibua toka kwenye youth ranking za vilabu husika anavyofundisha. Na ndio maana inadaiwa Ferguson ndiye aliyemsisitiza na kumshauri sana juu ya kuendelea kukaamini hako ka mc tominay. Angalia Chelsea wachezaj aliojaribu kuwaibua mwisho Wa siku akawatoa kwa mkopo na wengine kuwauza jumla. So Mara nyingi hununua wachezaji ambao tayari wametengenezwa na timu zingine bila kujali umri wao
Chelsea hawana utamaduni wa ku-promote youth players na sababu nyingine ni viwango vya hao wachezaji.Labda utuambie Scolari,AVB,Ancelotti,Conte walimpromote mchezaji gani ?

Scott ni aina ya mchezaji ambao Jose anawataka ndio maana anampa nafasi dogo angekuwa hafanyi kocha anachotaka asingechezeshwa hata kama ni mtoto wa Ferguson/Glazer

Morata,Nacho,Traore,Casemiro,Jesse,Fabinho,Christiansen walipewa chance na Mourinho
 
Jamani Mimi bado naendelea kukosoa mpira tunaocheza mfano kwenye game ya Liver timu iliwahi sana kurudi nyuma kwa dk karibia zote za second half. Tukicheza vile na Sevilla balaa kubwa linaweza likatukumba na wengine tukafa hata kwa presha. Mimi huwa naumia sana na kustuka sana pale tunavyokuwaga tumerudi nyuma halafu dk zinayoyoma na wakati huohuo tunakoswa mabao balaa. Kuna siku watu watahisi wamepigwa kisu cha moto moyoni pale tutapofungwa goli lenye madhara dk za mwisho hasa kwenye game kama hii ya Leo ambayo ni knockout stage.
Mou ndio mkali wa mechi muhimu kama hii ya leo,atatumia mbinu zote unazojua na usizojua lazma tufike tu
 
There is only one paul scholes..nyie ndio mnaharibugi wachezaji!!Huyo Scott wakawaida sana Centre midfielder gani always yuko kwenye half yao tuu...but he is still young so anaweza aka improve

Hata mimi nakubaliana na wewe, McTominay ni mchezaji mzuri lakini mpaka leo hatujui ni nani au kipaji chake ni kipi. kila kitu yupo average pengine future yake atakuwa mchezaji aina ya O'shea au fletcher mtu ambaye anatumiwa tu kuvuruga mipango ya timu pinzani na ku man mark wachezaji wa timu pinzani.

Kina Giggs, Scholes, Beckham etc toka wapo academy wanajulikana talent zao na hata tukiangalia academy yetu sasa hivi kina Angel Gomes, Tahiti chong wote vipaji vyao vinajulikana, Angel gomes unajua kabisa mipira iliokufa ni Hatari kiasi gani, akiwa nje ya box assist nje nje, akibaki na mtu mmoja ni rahisi kumtoka etc.
 
Scott ni defensive midfielder na siku zote hawa watu huonekana kama hawana umuhimu kwenye timu but ndio wanaleta balance kwenye timu wakati Carrick anasajiliwa mashabiki wa United walikuwa wanamponda sana but ni mmoja ya wachezaji muhimu sana kwenye era ya SAF
 
Aggressive na defensive.
Unaweza usimwona ila mtibuaji sana kwa mashambulizi.
 
Scott ni defensive midfielder na siku zote hawa watu huonekana kama hawana umuhimu kwenye timu but ndio wanaleta balance kwenye timu wakati Carrick anasajiliwa mashabiki wa United walikuwa wanamponda sana but ni mmoja ya wachezaji muhimu sana kwenye era ya SAF
mimi siku zote carrick namkubali na wakati anasajiliwa sidhani kama alikuwa anapondwa, kipindi cha ronaldo carrick si ndo alikuwa jembe? hata master mind wa 7-1 alikuwa ni yeye.

Carrick alianza kupondwa miaka ya 2010 alivyoondoka Ronaldo Timu yetu ili drop sana mpaka kustaafu kwa Scholes na kurudi.

Na carrick kirahisi una identify uwezo wake.
passing- carrick ni nadra sana kutoa pasi ovyo
composure- hata timu iwe under pressure vipi jamaa ametulia na anazima mashambulizi na kuanzisha yetu
link ya midifield na forwards- jamaa muda wote anawaza kutoa pasi za mbele kwa mawinger, na penetration zake ni wachezaji wachache wanaweza kuzifanya.

kuna kipindi mpaka xavi alikuwa anapitwa na carrick kwenye kutoa pasi za mbele (sio za kurudisha nyuma kwa kipa na mabeki)

unamsema Mctominay kama defensive midfielder, je kwa minajili ipi? sababu moja ya weak link ya huyu dogo hajui kufanya tackling,

strength zake ni interception na aerial ball, kidogo hio interception ni quality ya midfield ila kupiga vichwa si quality ya midfield.
 
Carrick alikuwa anapondwa because ilikuwa inaonekana kwanza alinunuliwa kwa hela nyingi na huko nyuma United haikuwahi kuwa na kiungo anayecheza kama Carrick ( Keane,Scholes,Butt) hawa wote walikuwa combative na aggressive na walikuwa wanapenda kupanda mbele kushambulia tofauti kabisa na Carrick

Kama Mourinho ataendelea kuwa kocha United huyo dogo atacheza sana na Jose anaangalia zaidi workrate kuliko talent ndio maana unaona wachezaji wenye workrate kubwa kina Young,Lingard,Rashford,Valencia wanacheza sana
 
Hivi mkuu unashabikia timu ipi sijawahi kujua Liver au United?
 
Carrick alikuwa anapondwa because ilikuwa inaonekana kwanza alinunuliwa kwa hela nyingi na huko nyuma United haikuwahi kuwa na kiungo anayecheza kama Carrick ( Keane,Scholes,Butt) hawa wote walikuwa combative na aggressive na walikuwa wanapenda kupanda mbele kushambulia tofauti kabisa na Carrick

Kama Mourinho ataendelea kuwa kocha United huyo dogo atacheza sana na Jose anaangalia zaidi workrate kuliko talent ndio maana unaona wachezaji wenye workrate kubwa kina Young,Lingard,Rashford,Valencia wanacheza sana
na ndio nilichokisema Comment ya mwanzo dogo ni kama O'shea au Fletcher sababu Hana kipaji kinachoonekana na hata mou anavyomtumia ni kama alivyotumika Fletcher/O'shea kuwakaba kina Fabregas kipindi cha fergie.
 
Mourinho: “I read something from the worst manager in the Premier League. Frank De Boer where he is saying it’s not good for Rashford to have a coach like me. If he was coached by Frank he would learn how to lose because he lost every game.”
 
Back
Top Bottom