DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]madhara ya kupaki bus mechi ya kwanza yametucost ! valencia mtupu...sahv...! huwezi ukawaacha pogba na mata kwenye game kubwa ukiwategemea watoto lingard na rashford ! na young ndo msnge kabisa huwezi kum2mia ukitaka timu ishambulie...