RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,769
- 129,517
Mourinho kafika mwisho wake, kama hawezi kuwafunga Sevilla atamfunga nani?aahhaa! Usikasirike sana Mkuu, mambo ndiyo yameshatokea, tuangalie mwakani. Mwaka wa ukame huu.
Mourinho kafika mwisho wake, kama hawezi kuwafunga Sevilla atamfunga nani?aahhaa! Usikasirike sana Mkuu, mambo ndiyo yameshatokea, tuangalie mwakani. Mwaka wa ukame huu.
Na De Gea sio ajabu akatimkia MadridMourinho kafika mwisho wake, kama hawezi kuwafunga Sevilla atamfunga nani?
Mourinho kafika mwisho wake, kama hawezi kuwafunga Sevilla atamfunga nani?
Hakuna kitu hapo wamekutana na wasenge sisi tusiokua na kocha.wala hakuna mtu inamuuma leo kufungwa naona wanatoka kama wameshinda vile.Nzonzi + Banega Top class Midfield Aisee Energy + Creativity Day
Tumetolewa, tujipange mwakani. So sad.
Nimeumia saaaaaaana unashindwa kumfunga sevilaWe knocked out, its a shame shame shame very SHAME.. nimeumia kichizi na sijui kama nitapata usingizi