Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu umekuwa Mwepesi sana Wa Kumuuliza Mtu Swali Lisilojibika??

😀 😀😀😀
1520974340071.png
 
Hatuangalii ukubwa wa mwili tunaangalia utandazaji wa soka. Yule dogo yuko njema zaidi
Mkuu umejua mpira juzi, mechi hizi wanatakiwa watu wagumu. Valencia.Baily.Young.Smalling.Matic.Fellaini.Herera kama angekuwepo. Pogba hawatakiwi watoto hapa ndio maana habari za kina Lindelof. Show huzisikii leo, huyo McTominay kawekwa hapo ushahidi kamwe hataingia leo labda kuwe na majeruhi.
 
Magoli yetu yatatokea pembeni
 
Back
Top Bottom