radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hahaha huwez amin jana nimesepa dakika ya 20 nlipomuona lingard na fellain wameanza nilijua kutoka ni mbinde namuaga jamaa yangu akajua utan ila kawaida mkuu kuna muda makocha wanavuta weed hasa mourinhoHahahaaaaaa timu yangu naijua mkuu so ukiona kimya ni majukumu tu ya kifamilia na kiharakati.........
Poleni ndugu zangu naona jana ulilala mapemaaaaaa