mimi siku zote carrick namkubali na wakati anasajiliwa sidhani kama alikuwa anapondwa, kipindi cha ronaldo carrick si ndo alikuwa jembe? hata master mind wa 7-1 alikuwa ni yeye.
Carrick alianza kupondwa miaka ya 2010 alivyoondoka Ronaldo Timu yetu ili drop sana mpaka kustaafu kwa Scholes na kurudi.
Na carrick kirahisi una identify uwezo wake.
passing- carrick ni nadra sana kutoa pasi ovyo
composure- hata timu iwe under pressure vipi jamaa ametulia na anazima mashambulizi na kuanzisha yetu
link ya midifield na forwards- jamaa muda wote anawaza kutoa pasi za mbele kwa mawinger, na penetration zake ni wachezaji wachache wanaweza kuzifanya.
kuna kipindi mpaka xavi alikuwa anapitwa na carrick kwenye kutoa pasi za mbele (sio za kurudisha nyuma kwa kipa na mabeki)
unamsema Mctominay kama defensive midfielder, je kwa minajili ipi? sababu moja ya weak link ya huyu dogo hajui kufanya tackling,
strength zake ni interception na aerial ball, kidogo hio interception ni quality ya midfield ila kupiga vichwa si quality ya midfield.