DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,313
- 109,388
Ha ha ha haaaa..Juventus waliwauzia Pogba wa kichina...
Huu Uzi burudani sana
Ha ha ha haaaa..Juventus waliwauzia Pogba wa kichina...
Kulikua na sababu gani zilizofanya fellain kuanza na pogba au mactomney au mata kukaa nje?,,,,pia zile mbinu alizotumia Leo kucheza unazani zilikua nzuri? ,
Katumia mbinu zake zote za kizamani tunazozijua..!Mou ndio mkali wa mechi muhimu kama hii ya leo,atatumia mbinu zote unazojua na usizojua lazma tufike tu
Ahahaaaah...Good game MUFC, ushindi lazima. Kikosi kimepangwa vizuri, tupate mafanikio mazuri usiku huu.
Haya bwana ndo hivo mbinu zimeishia pale!!Mou ndio mkali wa mechi muhimu kama hii ya leo,atatumia mbinu zote unazojua na usizojua lazma tufike tu
Kuingia robo fainali ni MUHIMU,lakini subiri mwakani..!Muhimu tuingie robo fainali ndio jambo la muhimu
Bora hata wewe ulijilalia mapema..!!!Upuuuzi tu bora nilale poor
Umechelewa sana kulijua hili..!!!Waungwana huyu Sanchez kama tumepigwa vile....
Amka mkuu...Hii timu yenye jezi nyekundu ikifungwa na ikatolewa nitafurahi sana.
Ngoja nilale, nitaamka saa sita unusu kucheki matokeo