Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi Pogba kaingia kufanya nini??mwenzake alikuwa anacheza mbele au pembeni ya matic yeye muda mwingi nimemuona nyuma ya matic

Acha Pogba, Sanchez alikua anasubiri nini muda wote huo?.. Alafu mbaya zaidi unashindwaje timu kama Man utd kupata goal/s nyumbani kwa Sevilla?

BIG SHAME!!
 
Mungu anajibu maombi niliudhika sana ile juma pili mlipotufunga liverpool nikamwambia jamaa yangu kwa mpira huu ambao man u mnavizia na kupaki basi mumesababisha leo mumetufunga sisi liverpool ila juma 4 UEFA mnatoka,Mungu sio mzee mkumba amesikia maombi
 
Nikiongea humu Mourinho hajielewi huwa natukanwa na wakina radika and the likes...


Hivi mechi ya leo tena nyumbani kulikuwa na haja ya kupack basi kweli .. Huyu kocha sijui amewahi kupitia JKT mlale kwenye mazoezi ya kuruka visiki vya miashoki, haiwezekani awe na hofu ya kukilinda namna hii.


Game ya Liverpool nayo kipindi cha pili alipack bus kama lipuuzi fulani hivi..

GGMU
Mkuu masahihisho: hata kama tumepigwa leo hatukupaki basi
 
madhara ya kupaki bus mechi ya kwanza yametucost ! valencia mtupu...sahv...! huwezi ukawaacha pogba na mata kwenye game kubwa ukiwategemea watoto lingard na rashford ! na young ndo msnge kabisa huwezi kum2mia ukitaka timu ishambulie...
 
Pole eee samak Pole
Wanvokufanya polee
Samak poleee kichwa

Wana mpaka paka polee dagaa
Poleee wanvokufanya poleee


Kbua pole wanakubiruabirua
Kwa mchuz na biringanya
 
Tushapigwa..Kocha mpumbavu huyu unamtoa Fellaini alikuwa anazunguka uwanja wote unaingiza Pogba!!! Ona anaharibu zaidi anamuingiza Martial huyu mvivu mkubwa...ngoja nikalale
Wewe unajua kuliko the special one??????ile ni technical substution imefanywa na kocha
 
Leo lawama zangu zote kwa kocha tumepoteza hii game kwa ujinga wake hakukuwa na sababu ya kumuingiza pogba sana sana alipaswa atoke Sanchez aingie martial/mata
 
Back
Top Bottom