Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,561
- 11,443
Better off than the othersKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?