Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Kwa makadirio, mshahara wa daktari serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi
emoji23.png


Sent using Jamii Forums mobile app
C&P hii mboni ilikwisha andikwa tayari

Umecopy km ilivyo
Cc: Teko Modise
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Sawa, ila sio wote wana HESLB hiyo ni option tu

NB: hawana posho?
 
Jamani kazi nyingine ni kutoa huduma kwa jamii ukitaka kuwa tajiri kama musk ingia kwenye biashara
Sio Kila biashara unakuwa tajiri wafanyabiashara wengi ni masikini wa kutupa tusidanganyane!!! Pia udaktari salary huongezeka na kufika mpaka millions of money,Wana mikopo,maduka ya dawa,hosp nk kikubwa ni kuvumilia!! Wafanyabiashara wengi tuu wamechoja kimaisha
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh, kumbe ndio maana wanakomalia wajawazito walipe 150,000 za kuzalishia. Kama huna wanakuacha ufe tu
 
Hivi hua kuna mantiki gani kwenye kunipangia mshahara utakuwa kiasi flani halafu muanze kuukata. Mfano kwa huyu daktari kwanini asiambiwe tu mshahara wako ni hiyo laki 8. Inaumiza kuniambia mshahara wangu ni milioni halafu muanze kuukata
 
ha ha

Chakula Cha Daktari bado iko?

Marudi ipo pia?

Na faida zilizojificha kem kem.

Ukweli sekta ya Afya bajeti yake ni ndogo mno...hata kufikia 15% ya GDP kwa mujibu wa Azimio la Ouagadougou la miaka 15+ iliyopita bado sana. Safari ni ndefu. Tukifika tutakuwa tumechooooka sana
Bado sana ni kama wameitelekeza hivii...
CCD zipo za kutosha mzee tunazifinya sana unaweza ukatoka na 150k kwa siku au 100k siku ikiwa mbaya kwahyo hizo zipo...

Na wakati mwingine tunaziomba kijanja 😄😄
 
Bado sana ni kama wameitelekeza hivii...
CCD zipo za kutosha mzee tunazifinya sana unaweza ukatoka na 150k kwa siku au 100k siku ikiwa mbaya kwahyo hizo zipo...

Na wakati mwingine tunaziomba kijanja
Hawajui hayo ndiyo maana wako kubeza kila muda .

Ila wangejua kuna watu hata hela ya Bar sio hela ya mshahara wasingedhubutu kupandisha nyuzi hapa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom