Tuna safari ndefu sana kisoka!

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Wakisema wajuzi wa mambo, wakati ni shahidi mzuri sana, Sasa nimethibitisha.
Ninani aliyekuja na hili wazo la NANI ZAIDI kati ya Simba na Yanga?
Hivi watani hawa wa Soka wanao ushindani nje ya uwanja wa Soka?, bila shaka jibu ni hapana.
Kwani huu mzimu wa kuokotezaokoteza kwa kubahatisha kwa wanachama na mashabiki wetu bado upo vichwani mwa viongozi wetu wa hizi timu kubwa ambao bado wanatuaminisha kutupeleka kwenye mabadiliko ya kiuendeshaji?
OK, tufanye wapo sahihi kuchangisha, hizo pesa tuchange za nini, timu zina hitaji la dharura??
Babla yeye kaweka wazi kwamba pesa watazochangisha wanaazimia kuziwekeza kwenye ujenzi wa uwanja ambao mpaka Sasa haujulikani mchoro wake wala bajeti yake ni Tshs. Ngapi na wala utakuwa wapi.
Sasa inakuwaje tuna anzisha michango isiyo na malengo, yaani wala hatujui tunahitaji Tshs ngapi tunaanza kuchangishana?
Zoezi la Simba kuchangishana kwa ajili ya Uwanja wao Lilianza tangu mwishoni mwa mwaka jana pindi baada ya bibie kuzuiwa asiingie uwanjani eneo la VIP akiwa na watoto. Kwa hasira za kukataliwa ndo akatangaza kampeni ya mchango wa ujenzi wa uwanja ambayo mpaka leo anasema amekusanya Tshs. 60 Mil.
Kichekesho ni rafiki yangu Manara, yeye anakiri kwamba hizo pesa hawatozipeleka kwenye uwanja kwa sababu ishu ya uwanja kwao wameshajianga kwa namna nyingine. Lakini anasema wataeleza hizo pesa zimetumikaje baadae, wakishazipata.
Sasa ya Manara tafsiri yake ni kwamba wao Yanga wala hawazihitaji hizo fedha kwa sasa, na sasa kama hawazihitaji yanini kusumbuana na mapress conference watu tunajaa na taharuki kudhani Kuna kuuuubwa la maana, kumbe watu wanatembeza bakuli kwa fedha wasizozihitaji.
Najua Yanga tayari wameshakusanya fedha nyiiiingi sana kupitia mradi wao wa kusajili wanachama kwa Kadi mpya, kila kadi imekusanya Tshs. 39,000/- na bado zoezi kinaendelea, Sasa leo tena kujitokeza kuomba fedha kwa wanaYanga nadhani haikukaa sawa, si uungwana hata kidogo.
Na huu utaratibu WA kukusanya fedha kupitia michango ya wanachama Ndiyo hasa utaratibu mujarab na wa uhakika kwa vilabu vyetu hivi kukusanya fedha. Tuachane na haya MAZOEA ya kizamani kuchangishachangisha tushavuka huko jamani.
Au ndo pori jipya lakini Nyani wale wale??
Lakini ninawahakikishia tena bila kupepesa, kama hawa ndio aina ya viongozi tunaotarajia watusimamie vilabu vyetu, safari bado ni ndefu sana.

By the way, mchakato wa mabadiliko Simba umekomea wapi???
_20220602_174435.JPG
 
Nikweli tunasafari ndefu kwa akili kama ya kwako iyo hatuwezi kufanikiwa kisoka, kwa uelewa kama wakwako uwanja wa mpira wenye viwango ujenzi wake ni sawa na nyumba unayoishi ? Cyo ww peke yako mwenye fikra finyu wapo mashabiki wengi2 wa karba yako wao wanalojua ni kulaumu kila kitu timu ikifungwa mbio kuazisha uzi lkn hata senti hauchangii timu ukidaiwa kadi na serikali yako kosa mbio kuanzisha uzi, Ni kweli tuna safari ndefu
 
Wakisema wajuzi wa mambo, wakati ni shahidi mzuri sana, Sasa nimethibitisha.
Ninani aliyekuja na hili wazo la NANI ZAIDI kati ya Simba na Yanga?
Hivi watani hawa wa Soka wanao ushindani nje ya uwanja wa Soka?, bila shaka jibu ni hapana.
Kwani huu mzimu wa kuokotezaokoteza kwa kubahatisha kwa wanachama na mashabiki wetu bado upo vichwani mwa viongozi wetu wa hizi timu kubwa ambao bado wanatuaminisha kutupeleka kwenye mabadiliko ya kiuendeshaji?
OK, tufanye wapo sahihi kuchangisha, hizo pesa tuchange za nini, timu zina hitaji la dharura??
Babla yeye kaweka wazi kwamba pesa watazochangisha wanaazimia kuziwekeza kwenye ujenzi wa uwanja ambao mpaka Sasa haujulikani mchoro wake wala bajeti yake ni Tshs. Ngapi na wala utakuwa wapi.
Sasa inakuwaje tuna anzisha michango isiyo na malengo, yaani wala hatujui tunahitaji Tshs ngapi tunaanza kuchangishana?
Zoezi la Simba kuchangishana kwa ajili ya Uwanja wao Lilianza tangu mwishoni mwa mwaka jana pindi baada ya bibie kuzuiwa asiingie uwanjani eneo la VIP akiwa na watoto. Kwa hasira za kukataliwa ndo akatangaza kampeni ya mchango wa ujenzi wa uwanja ambayo mpaka leo anasema amekusanya Tshs. 60 Mil.
Kichekesho ni rafiki yangu Manara, yeye anakiri kwamba hizo pesa hawatozipeleka kwenye uwanja kwa sababu ishu ya uwanja kwao wameshajianga kwa namna nyingine. Lakini anasema wataeleza hizo pesa zimetumikaje baadae, wakishazipata.
Sasa ya Manara tafsiri yake ni kwamba wao Yanga wala hawazihitaji hizo fedha kwa sasa, na sasa kama hawazihitaji yanini kusumbuana na mapress conference watu tunajaa na taharuki kudhani Kuna kuuuubwa la maana, kumbe watu wanatembeza bakuli kwa fedha wasizozihitaji.
Najua Yanga tayari wameshakusanya fedha nyiiiingi sana kupitia mradi wao wa kusajili wanachama kwa Kadi mpya, kila kadi imekusanya Tshs. 39,000/- na bado zoezi kinaendelea, Sasa leo tena kujitokeza kuomba fedha kwa wanaYanga nadhani haikukaa sawa, si uungwana hata kidogo.
Na huu utaratibu WA kukusanya fedha kupitia michango ya wanachama Ndiyo hasa utaratibu mujarab na wa uhakika kwa vilabu vyetu hivi kukusanya fedha. Tuachane na haya MAZOEA ya kizamani kuchangishachangisha tushavuka huko jamani.
Au ndo pori jipya lakini Nyani wale wale??
Lakini ninawahakikishia tena bila kupepesa, kama hawa ndio aina ya viongozi tunaotarajia watusimamie vilabu vyetu, safari bado ni ndefu sana.

By the way, mchakato wa mabadiliko Simba umekomea wapi???View attachment 2248417
Mkuu , hujalazimishwa lakini! Atakaeona inafaa , atachangia . Atakaeona ni upuuzi aache.
 
Ndugu wewe ni Mtanzania mwenye akili kuliko Watanzania wote.
Wewe ni Mtanzania pekee unayeweza kuona mbali na kudadavua mambo.
Wewe ni Mtanzania pekee unayejua kuwa hela za Watanzania zitaibiwa na Simba na Yanga.
Wewe ni Mtanzania pekee mwenye akili za kujua kuwa Viongozi wa Simba na Yanga hawana akili wala mipango ya Business strategies.

Hivyo nakushauri waache wanaoziamini Timu na Viongozi wao wachangie Timu zao! Wewe usichangie ili Mtoto wa Mjini usije ukaibiwa! Ujuaji mwingi kwa mambo unayohisi hayakuhusu hautokusaidia chochote.
 
Back
Top Bottom