Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
Nini mbayaa[emoji34][emoji34][emoji34]
Nini mbayaa[emoji34][emoji34][emoji34]
Nikamwambia lazma ana undugu na hoo Sokwee[emoji23]
Akumbukwe kwa busara zake [emoji120][emoji120]
Muheshimiwa sio msukuma ova.Japo mmasai na msukuma woye ni washamba, tofauti yao mmasai akielimishwa huelimika tofauti na ndg zangu ni wabishi na hubadilika taratiiibu, japo nao wana upande chanya ni wakarimu wa asili...japo sielewi kwanini mheshimiwa ni bahili hivi
Wanyaki mhh[emoji23][emoji23][emoji23]Bora Wanyaki kuliko Wasukuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Nimeona [emoji23]Hebu tutoke huko kidogo tutaleta mgogoro humu [emoji23] [emoji23]
Cc sweetiepie
Yule ni Msubi...muhamiaji kutoka Burundi mwenye Kivuli cha Chatle...hana hata element moja ya kisukuma...nakubali ni washamba sikatai ila suala la ubahiri,,ubinafsi na uchoyo kama alivyo hivyo... sisi hatuko hivyo.Ukiona hivyo sio msukuma [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
BorderNaskiaga ni cross
Watampata wapi??Lakini nadhan unaelewa kinachotokea ukiwa mchochez
Vunga bhana[emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimeona [emoji23]
Uwe mchochez usiwe mchochezi kazi hamna kaka na adimuKweli mkuu......Ila me ctaki kuwa mchozi nisije kukosa kaz bureee
Hivi haujui kama mimi ndio mlinzi wa humu????? Na leo ndio nimepewa cheo cha kukamata wachozi woteeWatampata wapi??
Au unapenda Tamthilia Tetra[emoji4][emoji4]iSii yaani na mimi natamani sana kuchangia hizo ishu za kandanda na wachezaji, lakinni sema tu mpira haumo kabisa kwangu, nafahamu madondoo machache sana kwasababu nilikosaga fursa ya kufuatilia haya mambo ajili ya mashule shule na kusoma........🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Naona umeanza uchocheziiKazi unayo
Hata Dictator uchwarer atamaliza muhula wa urahisi ww ukiwa post ya 5K
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...... ...
Una mahaba na nini...[emoji4]Niko poa sana kqani sina magaba na timu yoyote
Jana uliparticipate vizuri...hongerab[emoji5][emoji16]Usiku mwema wote
Asante JJView attachment 399172View attachment 399173
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami katika kudondoa magazeti yetu yale yaliyotufikia asubuhi ya Leo. Jina langu naitwa Jimena Jimenes..... Muwe na siku njema
Ciao
Jirani upoAsante JJ
[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Kuna watu wanachezea maisha
.......
Jamani [emoji17][emoji17] Mungu ampe riziki maradufu