Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Nipo sana hapa, tangu Ramadhan hadi Ijumaa kuu nilikuwa nalinda jukwaa maana wadau mlipotea sanaUmemisika mdau
Nipo sana hapa, tangu Ramadhan hadi Ijumaa kuu nilikuwa nalinda jukwaa maana wadau mlipotea sanaUmemisika mdau
Wapo watakaolishana nyama nakwambia😃Ijumaa Kuu njema wanajukwaa wote.
Msiokula nyama leo basi msile nyama zote, msichague kuhalalisha na kuharamisha
......itakuwa kakamatwa na jamaa wa TRA au Latra ha ahahahaaha.Tumemzoea mwenyekiti Poker huwa anatushtua mara moja moja naye sijui kapotelea wapi siku hizi!
🤣🤣🤣🤣......itakuwa kakamatwa na jamaa wa TRA au Latra ha ahahahaaha.
Wasaliti tayari washafanya yao! Jana kuna mchongo walikuwa wanausikilizia😂Hivi kwenye hii pasaka, wasaliti wanakutana leo au matokeo ya kumsaliti Yesuy tunayakumbuka leo!?