Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbe nisipokuwepo ndo huwa mnapiga umbea wa namna hii...!
Hakika wanaume tumebaki wachache
Hahahahaaaaaaa😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛

We si ulikuwa kwa kile kidemu, afu nashangaa kimekutema...hahahaha, umekesha nacho siku nzima ila umeambulia patupu....una uanaume gani wewe???😛😛😛😛😛🙁🙁

nimecheka sana iSeeee
 
IMG_20160913_001636.jpeg
 
Hahahahaaaaaaa😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛

We si ulikuwa kwa kile kidemu, afu nashangaa kimekutema...hahahaha, umekesha nacho siku nzima ila umeambulia patupu....una uanaume gani wewe???😛😛😛😛😛🙁🙁

nimecheka sana iSeeee
Siyo kila nikisemacho, basi niko serious.. nna watoto wawili now, niko hapa kwa ajili ya kufurahisha siyo kila ukionacho kipo sahihi
 
Attachments

  • 1473716905336.jpg
    1473716905336.jpg
    53.1 KB · Views: 19

Similar Discussions

Back
Top Bottom