Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Poa p-oaUsijali
Siku njema
.........
Poa p-oaUsijali
Siku njema
.........
Kwaiyo angekuanza ww ungekataa??wala sikumtongoza...
Zaidi nilikuwa nampiga mikwara tu
Watu wanaonesha ukomavu![]()
Kuna watu wanachezea maisha
.......
Kweli Mkuu
Hiyo ni video nimescreenshot...jamaa kavuka hapo na baiskeliWatu wanaonesha ukomavu
Kwa mzungu ni sawa.![]()
Kuna watu wanachezea maisha
.......
Nilikua nasearch hyo picha ya jamaa alopgwa kaa mwizi afu jamaa amepga nae pichaHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Hiyo ni video nimescreenshot...jamaa kavuka hapo na baiskeli
![]()
![]()
![]()
........
anatokea wapi huyoo???Village engineerKwa mzungu ni sawa.
Ngozi nyeusi inachezea maisha
Lilitengenezwa na nani hilo daraja la baiskeli
Kwann unasema kwa mzungu sawa???Kwa mzungu ni sawa.
Ngozi nyeusi inachezea maisha
Lilitengenezwa na nani hilo daraja la baiskeli
Nilikua nasearch hyo picha ya jamaa alopgwa kaa mwizi afu jamaa amepga nae picha
Siikumbuki ni sehemu gani
Hapo mzungu angesifiwa anaakiliKwann unasema kwa mzungu sawa???
Akivunjika ndio atashika adabuSiikumbuki ni sehemu gani
Watu wanapenda sifa
![]()
![]()
![]()
.......
Mwafrika ?Hapo mzungu angesifiwa anaakili