Huu ni uchochezi wa hali ya juuKumbe nisipokuwepo ndo huwa mnapiga umbea wa namna hii...!
Hakika wanaume tumebaki wachache
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Kumbe eeeh!Aisee sio poa
Tufanye swaga ambazo haziwezi kuwakwaza watu.......Hapa tunaondoa stress sio kupeana stress au kutishana.
Tunarekebishana kiungwana bila kugombana
Nafikiri ujumbe umemfikia kwahiyo potezea tupige stori zingine
............
Sawa...!Bitoz nimekuunga mkono, mara nyingine watu wanatupia vitu vya mzaha kila post, mtu ukakosa la kuchangia unapita kimyakimya.
Hapa umenifunza kitu sio kwa jonax tu hata mimi nimejifunza kitu kuwa sio kila wakati unafaa kwa mzaha...thanx
Sawa...!Hata ww siku hizi nakuona upo poa sio km zamani
Hapa tunapiga swaga,tunataniana n.k lakini isitufanye tupageuze pipa la taka
.................
Sawa...!Nadhani atajirekebisha sasa maana kumbe wengi hazitufurahishi
Tujifunze mkuu wanguSawa...!
Sawa....!Uko sahihi kabisa
Ilikuwaje ya awali?Basi tubadilike turudishe HADHI yetu ya KF
Sawa...!Itasababisha "vichwa vipya" visije kutuletea maujanja/segment kwa kupaona ni sehemu ya ovyo
.........
Stori kama zako zile nkIlikuwaje ya awali?
Tupiamo mariwayaStori kama zako zile nk
OkNafikiri ikiwa member hatapitia hizi post na akaendeleza upupu ni vyema mwendee pm ili twende pamoja
Upo kikofiaJonax's day...
Oukay....!
Vipi siku hiziNimeachaga kuwa mshabiki wa kweli nilijigundua nina hisia kali, hivyo nilikuaga naumia sana tukifungwa
PM niliachaga siku nyingi kuwafuata watu.....labda wao wanifuate
![]()
![]()
![]()
........
wasema....?OkBasi unamwonya papa hapa biashara inaisha
Niko poa sana kqani sina magaba na timu yoyoteVipi siku hizi