Makapuku Forum

Makapuku Forum

9a6a072955f93e2f698890ba7cfb9cd2.jpg
Nimemuelewa
 
Aaaah wewe, nilishawahi kubishana mwaka jana, nikamtema, inabidi uwe na kichwa kigumu ndio ufanye naye mjadala
Halafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na paka
Sisi hatuendi kwao lkn wao vinganganizi wanakuja kwetu zen tunawakaushia
Uwe unasoma mchezo
Tupo 10 wote kimya lkn peke yako unakomaa na mtu
Ndo style yetu
.....................
 
Halafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na paka
Sisi hatuendi kwao lkn wao vinganganizi wanakuja kwetu zen tunawakaushia
Uwe unasema mchezo
Tupo 10 wote kimya lkn peke yako unakomaa na mtu
Ndo style yetu
.....................
...........hahahaah wanaona wivu sana..walijua hatutafika kokote, sahiv wanatamani kujumuika ila wengi wanaona aibu wanaishia kua wasomaji tu,af mwingine hata akicomment utasikia anajiulizisha vimaswali vya ajabu ajabu....eti kapuku ni nini...hahaha. wafe kwa kihoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom