Makapuku Forum

Makapuku Forum

1473711610862.jpg
 
iSii yaani na mimi natamani sana kuchangia hizo ishu za kandanda na wachezaji, lakinni sema tu mpira haumo kabisa kwangu, nafahamu madondoo machache sana kwasababu nilikosaga fursa ya kufuatilia haya mambo ajili ya mashule shule na kusoma........🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Nimeachaga kuwa mshabiki wa kweli nilijigundua nina hisia kali, hivyo nilikuaga naumia sana tukifungwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom