Makapuku Forum

Makapuku Forum

Weekend ilienda namna hii!

1473704278432.jpg
 
Haahahahaaa.... Galery yake imejaa anakuja kuziweka ktk servers za kf mpaka atakapopata memory kadi nyingine ndipo atazifuta
Hata mimi yananikera
Duuuh yamezidi......too much is harmful
Kila ukiingia KF unakutana na manyani
Utafikiri kundi la manyani bhana na mapicha ya kutishanatishana
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
...........
 
🙁🙁
Utamuweza jonax kila post anajibu kwa lisokwe, au watu wasioeleweka
Aisee sio poa
Tufanye swaga ambazo haziwezi kuwakwaza watu.......Hapa tunaondoa stress sio kupeana stress au kutishana.
Tunarekebishana kiungwana bila kugombana
Nafikiri ujumbe umemfikia kwahiyo potezea tupige stori zingine
............
 
Si unajua wote ni wamoja
Tunarekebishana inapobidi
KF inafuatiliwa na watu wengi(wamesubscribe)
Haipendezi kuwakwaza watu bila sababu
..............
Bitoz nimekuunga mkono, mara nyingine watu wanatupia vitu vya mzaha kila post, mtu ukakosa la kuchangia unapita kimyakimya.
Hapa umenifunza kitu sio kwa jonax tu hata mimi nimejifunza kitu kuwa sio kila wakati unafaa kwa mzaha...thanx
 
Hata ww siku hizi nakuona upo poa sio km zamani
Hapa tunapiga swaga,tunataniana n.k lakini isitufanye tupageuze pipa la taka
.................
 
Back
Top Bottom