Makapuku Forum

Makapuku Forum

My routine leo since Morning hapa Bongo wazee.. Nikiw kwa Bus naend Job hapo Tao, Nikaskia Mtoi akiambia mama yake eti "Mama tunaenda wapi na hatujaa Oga.?" Aiih si kicheko hyo .. Nikashuka baada ya kufika si ndo Nikute jamaa ako na Ndoo imejaa Mahind za kuchemsha aiih nikajua anauza, Si ndo akaniambia hzo Mahind anapita akitafuna huku anatafuta Job Eeh tz my hom..
Mbaya zaid nmepiga story Mob na Mdosi after hapo akaniambia "tutaongea" sas hii ndio imenimalza kwan tym yote hiyo tulikuw Tunalia.?
 
Wewe ni Mkenya. Period sio kwa lafudhi hiyo
 
Well.....nimechukua "Sa" nikatoa hiyo "Ca" ya katikati maana sikuona kama inaleta jina au maana halisi nikastick na "Jo" ya mwisho ambayo nikapata "Sajo" na kwa kirefu ni Lusajo na hawa watu ni wanyaki.
umenifurahisha mkuu......ila hapo kwenye jina umekosea....hilo jina lina maana sana sema we kwako ni genii.......nadhan me ni mtu wa kwanza kuwa na jina kama hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom