Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa kweli, mara nyingine twaona kama Muumba hatendi haki lakini ndo hivyo hatuwezi kuhoji.
Huyu jamaa angemaluza muhula wake angewanyoosha wengi kwani hakuwa na mzaha kama wasasa
Enzi zake wahujumu uxhumi walimwaga sukari mtoni ikawa ukilamba maji full sukari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
 
Kuna mdenishi mmoja alikuwepo enzi zake akiwa afisa wa DANIDA kule Ngono river..bukoba, alishuhudia akina KUGI'S wale wahindi walikuwa wanachoma dollar moto kwa kuhofia mkono wa jamaa..na wengine walikuwa wakimwomba akawahifadhie nchini mwake.
Hakuwa na utani...mzee wa chattle tatizo anajikanganya sana japo anataka kufuata nyayo lakini anapwaya
 
Kwa kweli, mara nyingine twaona kama Muumba hatendi haki lakini ndo hivyo hatuwezi kuhoji.
Huyu jamaa angemaluza muhula wake angewanyoosha wengi kwani hakuwa na mzaha kama wasasa
Malipo ni hapa hapa duniani na pia inabidi tukumbuke kuwa vifo vingine vimetokana na uzembe, chuki binafsi nk
Tawala zetu nazo zina yake
 
Kuna mdenishi mmoja alikuwepo enzi zake akiwa afisa wa DANIDA kule Ngono river..bukoba, alishuhudia akina KUGI'S wale wahindi walikuwa wanachoma dollar moto kwa kuhofia mkono wa jamaa..na wengine walikuwa wakimwomba akawahifadhie nchini mwake.
Hakuwa na utani...mzee wa chattle tatizo anajikanganya sana japo anataka kufuata nyayo lakini anapwaya
Ndo tofauti ya Masai na Msukuma
Masai anatumia akili halafu anajipanga
Msukuma anatumia mikwara na kukurupuka
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.............
 
Wamasai wajanja hata mjini wanasumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Japo mmasai na msukuma woye ni washamba, tofauti yao mmasai akielimishwa huelimika tofauti na ndg zangu ni wabishi na hubadilika taratiiibu, japo nao wana upande chanya ni wakarimu wa asili...japo sielewi kwanini mheshimiwa ni bahili hivi
 
Kila nikigundua mtu ni Msukuma nacheka kimoyomoyo
Wasukuma wana matatizo mengi kinoma
Itabidi wabishane na ng'ombe zao
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
...........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuchukuliani ni muhimu bitoz,
Makabila yetu yana matatizo mengi sana japo tunatofautiana sana
 
Back
Top Bottom