Makapuku Forum

Makapuku Forum

940e794d3a9a4da8b31e3a4f9cd70dba.jpg
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...........hahahaah wanaona wivu sana..walijua hatutafika kokote, sahiv wanatamani kujumuika ila wengi wanaona aibu wanaishia kua wasomaji tu,af mwingine hata akicomment utasikia anajiulizisha vimaswali vya ajabu ajabu....eti kapuku ni nini...hahaha. wafe kwa kihoro
Kwahiyo akirudi mpotezee
Kauli mbiu yetu ni
[emoji117] No shobo,no supastaa,no ufagio
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Halafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na paka
Sisi hatuendi kwao lkn wao vinganganizi wanakuja kwetu zen tunawakaushia
Uwe unasoma mchezo
Tupo 10 wote kimya lkn peke yako unakomaa na mtu
Ndo style yetu
.....................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuelewa hahahah
 
Back
Top Bottom