Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,340
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa kwahiyo we unaona unapolala ni pa kimasikini kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa kwahiyo we unaona unapolala ni pa kimasikini kweli
Upo wa kutosha Toto...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nini tena aunt
Kuna usalama kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo ana magari zaidi ya hayo unayoyajua mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie makiii hongera bwana fanya uniazime hata moja leseni yangu huwa inaexipire ikiwa kwa droo tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata sijui nacheka ninii ila auntie makii utakuja WhatsApp kunifafanulia au tukipigiana simu
Alikuwaga ana comment anaweka dot dot,[emoji1]He he ulikuwa muoga mwenyewe we mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani nimecheka ila sijaelewa nataka kueleweshwa zaidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah! Na leo alicho nifanyia namtazama tu.. Kaniambia nimpe lift, nimejipinda nimeenda na kirikuu changu nimeweka na wese la buku ten, kanikalisha masaa matatu pale nje ya ofisi naota joto tu.. badae nikaona anatoka na Lexus LX 570.. yaani ila fresh tu
Mzima Dada Tajiri lakini ? Mnaendeleaje hapo ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabadilisha maneno siyo?
Naanza kuelewa kwa mbali sasa[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaona unapendwaaaa kumbe watu wanakujaza ujinga tu wanafurahua maujinga yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni mimi kabisa nikikopa songesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila voda View attachment 2262080
Ulipata gawio Auntie wangu?[emoji28]Songesha ni voda auntie wanakukopesha mkopo unaitwa songesha
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Yani acha tu
Jf ni kukaa kitaalamu tu
Ukisifiwa usikimbilie kufurahi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lol! Kind like bank overdraft, nimeipenda but shida ni baadhi kusongesha zaidi ukitumiwa afukumi wanakata afusita uliyosongesha.
NB. Wakati kwenye overdraft hakuna interest, songesha nadhani wanatoza riba fulani.
Maslahi: sijaqualify kusongesha
[emoji419][emoji419][emoji419]Haha watu wanakujaza unajua wanakukubali kumbe wenzio wanakuchora tu
Ni either wakikusifia uwalie buyu au uamue kujitoa tu ufahamu kwamba wakikusifia unafurahia tu kinafiki ili muende sawa ila moyoni unajua kabisa wanakuzunguka
Lakini ukijifanya unawaamini imekula kwako
Niko hapa Auntie...Auntie makiii nani kakuficha
Mwenye nguvu mpishe[emoji28]Kula mema ya dunia mkuu, mimi sina meno tena!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmmmmmh!! Babe yanazungumzika haya ujue?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamganga ketu[emoji6]
Kimandolu wewe....Si yule mlevi wake, sio yule wa siku ile, yule mwingine.