Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
AsanteSifa zipo kwaajili ya wanafiki tu ambao wanafaidika na sifa wanazo kupa ukikosea ndio hao wanakugeuka
Binadamu ameumbwa na fikira chonganishi
AsanteSifa zipo kwaajili ya wanafiki tu ambao wanafaidika na sifa wanazo kupa ukikosea ndio hao wanakugeuka
Binadamu ameumbwa na fikira chonganishi
Haha kwa kweliNaaam huo mstari wa pili nimeupenda sana sema unakuta mtu hujielewi woiiii acha si wengine tubaki na ushamba wetu
Weeeeh!! Hawa watoto naoMmmmh kama nakumbuka sakayo alikuwa na Mme mwingne sio huyu




Mmmmmmh!! Babe yanazungumzika haya ujue?Mkuu imekuwaje ukaniita huku kwa makapuku
Aisee hiyo piskali ilishaniacha, nipo hapa napambana nijiegeshe kwingine, si unajua sie vidume hatuwezi kukaa bila bila.
Sawa ngoja ninyamazeWeeeeh!! Hawa watoto nao![]()
Nangalia kanuni ya usaliti ni kifungu ganiMmmmmmh!! Babe yanazungumzika haya ujue?
Hawafai kabisa, wasubiri tuwapelekee marejesho voda shop. Watasubiri hadi kiama.Hiyo wanakata ukiweka tu hela
Si ndio.Sisi tena auntie
Sijui mlimfanya nini?Usivyoipenda makapuku yetu we mzee
Si yule mlevi wake, sio yule wa siku ile, yule mwingine.Auntie makiii nani kakuficha
Mume mmoja tu.Nangalia kanuni ya usaliti ni kifungu gani
Mbichwa wako![]()
Mkuu imekuwaje ukaniita huku kwa makapuku🤣🤣🤣🤣
Aisee hiyo piskali ilishaniacha, nipo hapa napambana nijiegeshe kwingine, si unajua sie vidume hatuwezi kukaa bila bila.
Ni yupi huyooo?Mume mmoja tu.
Kula supu ya ulimi mkuu, wanasema ni tamu..mimi sijawahi😀Leo nipi kwa makapuku, nasikia kipande hii kuna supu kali sana ya ulimi...😂😂
Tumefika tamati, ngoja huyu jamaa nae apate presha kidogo.Mmmmmmh!! Babe yanazungumzika haya ujue?
Kula supu ya ulimi mkuu, wanasema ni tamu..mimi sijawahi😀
Presha ya nini?Tumefika tamati, ngoja huyu jamaa nae apate presha kidogo.