Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Unajua kwa kodi zinavyo zidi kuongezeka nawaza kujisajiri nchi ya watu....hadi ufike utakuta kodi zishaanza kutumika
Na hamkuwahi kuambiwa ukweli kuwa TZ ni kifupi cha tozo
Unajua kwa kodi zinavyo zidi kuongezeka nawaza kujisajiri nchi ya watu....hadi ufike utakuta kodi zishaanza kutumika
Sifa zipo kwaajili ya wanafiki tu ambao wanafaidika na sifa wanazo kupa ukikosea ndio hao wanakugeukaHaha watu wanakujaza unajua wanakukubali kumbe wenzio wanakuchora tu
Ni either wakikusifia uwalie buyu au uamue kujitoa tu ufahamu kwamba wakikusifia unafurahia tu kinafiki ili muende sawa ila moyoni unajua kabisa wanakuzunguka
Lakini ukijifanya unawaamini imekula kwako
Mkuu imekuwaje ukaniita huku kwa makapuku🤣🤣🤣🤣ERoni Mndali ndanyelakakomu wengine ngoja niendelee kuangalia kwenye dayari hapa
Hapana sio hiyo kama yangu me sijakupa sifa hatakumbe ulikua unanichora shangazi,dah,nimekubali
Bwana we mzee sio kama nilivyokwambia we sijakujazahahahahaha,ok,kumbe ulinijaza nikajaa ,hahahbha dah.ok
Hahaha hahaha watu 8 anataka kutugombanishaMkuu imekuwaje ukaniita huku kwa makapuku
Aisee hiyo piskali ilishaniacha, nipo hapa napambana nijiegeshe kwingine, si unajua sie vidume hatuwezi kukaa bila bila.
Asante binamu yangu nashukuru na kwako piaAsante kwa salam aunt yangu. Nimeamka salama kabisa hofu kwako. Nakusalimia na kukutakia siku njema
Asante mkuu wangu uwe unanisaidia bwana ukiona sijaweka bundle ni mzozoNamsaidia Shunie , Kwenye Vichwa vya MagazetiView attachment 2262390View attachment 2262393View attachment 2262394View attachment 2262395
Auntie niacheeee.
Auntie ushagundua kipaji chako hebu kitumie, angalau ukoo tuwe na kamganga. Watuogope kidogo lol!!

Hiyo wanakata ukiweka tu helaWooooi!! Hii mbaya sasa, wanakataje hela sasa na wao
Waweke utaratibu tuwe tunapeleka marejesho voda shop![]()
Naaam huo mstari wa pili nimeupenda sana sema unakuta mtu hujielewi woiiii acha si wengine tubaki na ushamba wetuHaha watu wanakujaza unajua wanakukubali kumbe wenzio wanakuchora tu
Ni either wakikusifia uwalie buyu au uamue kujitoa tu ufahamu kwamba wakikusifia unafurahia tu kinafiki ili muende sawa ila moyoni unajua kabisa wanakuzunguka
Lakini ukijifanya unawaamini imekula kwako
Sifa zipo kwaajili ya wanafiki tu ambao wanafaidika na sifa wanazo kupa ukikosea ndio hao wanakugeuka
Binadamu ameumbwa na fikira chonganishi

Usivyoipenda makapuku yetu we mzeeMkuu imekuwaje ukaniita huku kwa makapuku
Aisee hiyo piskali ilishaniacha, nipo hapa napambana nijiegeshe kwingine, si unajua sie vidume hatuwezi kukaa bila bila.
Kula mema ya dunia mkuu, mimi sina meno tena!Hahaha hahaha watu 8 anataka kutugombanisha
Tena naomba nisiitwe huku kabisa🤣🤣🤣Usivyoipenda makapuku yetu we mzee
Sawa mkuu baki na amani maana maisha ni amani na amani ndio maishaKula mema ya dunia mkuu, mimi sina meno tena!