Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,838
- 183,048
Aaah!! Uzee huu bwana[emoji134][emoji134][emoji134]Auntie umeanza hutakagi kuelewa yaani karma kaongea kwa code yaani huna hata ulichoambulia. [emoji23]
Aaah!! Uzee huu bwana[emoji134][emoji134][emoji134]Auntie umeanza hutakagi kuelewa yaani karma kaongea kwa code yaani huna hata ulichoambulia. [emoji23]
Nijikute tu mimi[emoji134][emoji134][emoji134]Ushanimisiiiiiii huna lolote
hahahahaBasi utakuwa afande kweli we mzee
Yani acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaona unapendwaaaa kumbe watu wanakujaza ujinga tu wanafurahua maujinga yako
Haha sina hakika ila itakuwa[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mtu itakuwa wanajuana nje ya jf
aaahYani acha tu
Jf ni kukaa kitaalamu tu
Ukisifiwa usikimbilie kufurahi
hahahahaha,dah kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaona unapendwaaaa kumbe watu wanakujaza ujinga tu wanafurahua maujinga yako
..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nahisi umeelewa ndiyo maana umecheka
Watu wa jf na vituko vyao daah
mmmh[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mtu itakuwa wanajuana nje ya jf
LikedYani acha tu
Jf ni kukaa kitaalamu tu
Ukisifiwa usikimbilie kufurahi
[emoji1787][emoji1787] Auntie ushindwe kwa jina la Yesu hivi nini unanitafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mi sijui auntie. Ukiwa utaniambia.
Ebu ukoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169]
[emoji23][emoji23][emoji23] nitolee wapi hela ikiingia kwenye mpesa wanakata juu kwa juuThen unaulipaje? Au ndio nitolee?
Hebu nipe maujanja nikatengeneze line za voda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio uzee sema hutakagi kijichosha kabisaAaah!! Uzee huu bwana[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa wengine hawajui ukisifiwa unalipuka tu unaona sawa tu kumbe nyuma ya kisogo watu wanakung'ong'aYani acha tu
Jf ni kukaa kitaalamu tu
Ukisifiwa usikimbilie kufurahi
Sasa je we mzee ukisifiwa na watu uwe kimya tu wajibu asantehahahahaha,dah kumbe
We mzee nini jamani....
Binamu nakusalimiaLiked