Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbe kuna riba!! Hiyo overdraft ndio nini?
....najua unadhani!? Nimekumbuka tu wakati nasoma cheti cha uhudumu bank

Serious note:
Baadhi ya bank, ukiwa mteja mwaminifu wanaweza kukuruhusu kuchukua pesa na ukailipa ndani ya mwezi.
Mfano, unaenda kununua bidhaa na ukatumia kadi lakini salio lako halitoshi basi bank inatosheleza salio na utawalipa. Au una hitaji laki 6 mfano, unaenda ATM unachukua pesa then utakapoingiziwa pesa within that month wanakata chao, ukizidisha mwezi wanakufungia huduma ya overdraft.
Nimejieleza vema au nilete notes!?
 
Nimekuelewa.
 
Sasa wengine hawajui ukisifiwa unalipuka tu unaona sawa tu kumbe nyuma ya kisogo watu wanakung'ong'a
Haha watu wanakujaza unajua wanakukubali kumbe wenzio wanakuchora tu

Ni either wakikusifia uwalie buyu au uamue kujitoa tu ufahamu kwamba wakikusifia unafurahia tu kinafiki ili muende sawa ila moyoni unajua kabisa wanakuzunguka

Lakini ukijifanya unawaamini imekula kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom