Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyo ana magari zaidi ya hayo unayoyajua mdogo wangu
Dah! Na leo alicho nifanyia namtazama tu.. Kaniambia nimpe lift, nimejipinda nimeenda na kirikuu changu nimeweka na wese la buku ten, kanikalisha masaa matatu pale nje ya ofisi naota joto tu.. badae nikaona anatoka na Lexus LX 570.. yaani ila fresh tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe nilivamiaga tu hii thread ya watu nikajikuta tu naipenda tuuu mpaka leo

Ebu kasome page ya kwanza walisema inahusu nini eti auntie mwenyewe hata sijui waanzilishi wenyewe wamekimbia wametuacha wavamizi wa thread yao
Basi bora tumepata kilinge cha kupiga soga[emoji1787]
 
Back
Top Bottom