Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anajua wa kuwapa uganga hakii ningewanyooshaNdio ndio kalumanzila shunie[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anajua wa kuwapa uganga hakii ningewanyooshaNdio ndio kalumanzila shunie[emoji1787][emoji1787]
Mnajazana maujinga gani tena?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaona unapendwaaaa kumbe watu wanakujaza ujinga tu wanafurahua maujinga yako
Kusongesha ndio nini auntie? Tupeane hizo fursaHuyu ni mimi kabisa nikikopa songesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila voda View attachment 2262080
Kumbe wanapewa na Mungu[emoji849][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anajua wa kuwapa uganga hakii ningewanyoosha
hahahahaha,mm raia mwema tu shangaziHalafu kumbe we mzee afande sasa afande gani wewe jamani muoga
hahahahaha.,sawa shangazi,nakuaminiaKweli we mzee
hahahahahaha,dah hilo siezi kujua,ila sidhani km ni hivyoNimekumbuka kuna mtu alikuambiaga we unaonekana mpole ila una dharau za chini chini!
Hivi ni kweli?
hahahahaha,kwa maneno haya,nimefarijika acha ni relax na kuenjoyDuniani hapa hakuna cha peke yako we mzee labda umuumbe mwenyewe kwahiyo relax
[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa auntie wanapewa na nani na shetani au si nasikia wanaoteshwaKumbe wanapewa na Mungu[emoji849]
Nimeona auntie anakuita afandehahahahaha,mm raia mwema tu shangazi
Ewaaahhahahahaha,kwa maneno haya,nimefarijika acha ni relax na kuenjoy
Songesha ni voda auntie wanakukopesha mkopo unaitwa songeshaKusingesha ndio nini auntie? Tupeane hizo fursa
wanapenda tu kuniita hivyoNimeona auntie anakuita afande
Auntie umeanza hutakagi kuelewa yaani karma kaongea kwa code yaani huna hata ulichoambulia. [emoji23]Mnajazana maujinga gani tena?
Basi utakuwa afande kweli we mzeewanapenda tu kuniita hivyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa auntie wanapewa na nani na shetani au si nasikia wanaoteshwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina bundle
Then unaulipaje? Au ndio nitolee?Songesha ni voda auntie wanakukopesha mkopo unaitwa songesha