Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi auntie, hii makapuku yenu lengo lake lilikuwa nini?
And why "makapuku"
Mwenyewe nilivamiaga tu hii thread ya watu nikajikuta tu naipenda tuuu mpaka leo

Ebu kasome page ya kwanza walisema inahusu nini eti auntie mwenyewe hata sijui waanzilishi wenyewe wamekimbia wametuacha wavamizi wa thread yao
 
Ewaa.. umeisha badirisha tayari ? ndio maana juzi nilipita ofisini kwako sehemu ya kupakia gari yako nikakuta Range Rover autobiography mpya namba DZD nikasema una mgeni kumbe ni wewe.. Hongera sana Tajiri dada yangu, nitamuambia na dada Hadde huenda hana hizi taarifa
Huyo ana magari zaidi ya hayo unayoyajua mdogo wangu
 
Farhan Jr

Ukisoma course ya DATA JOURNALISM kuna sehemu wanasema Data journalism can help a journalist tell a complex story through engaging infographics in a very simple way

Mfano ukaulizwa Simba na Yanga ipi kubwa? Kuna namna mbili ukatumia Primary Source au Secondary source, lakini Data Journalist wa kweli atatumia primary, data sahihi kutoka field, zitakupa ukweli bila mbombela nyingi za kihistoria

Zinapokuja takwimu kuhusu Simba kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii huwa wengi wanapinga, lakini ni ukweli kuwa Kusini mwa jangwa la Sahara wapo dunia yao peke yao

Kupitia hii kampeni kwenye mitandao ya kijamii ya NANI ZAIDI, umeona utofauti wa Simba na Yanga kwenye eneo hilo, kuanzia namna wanahamasisha na namna wanachangia, imejengwa kwa zaidi ya miaka minne

Kuna ‘udogo’ ambao Yanga wanao kwenye dunia mpya na kuna ‘ukubwa’ ambao Simba wamekuwa nao kwasasa, ukitaka kubisha kuna DATA za wazi kabisa zinakuonesha

Pengine labda watu watachukia lakini kwenye DATA JOURNALISM kuna kitu tunasema;

You can analyze the dynamics of a complex situation like a riot or political debate, show fallacies, and help everyone to see possible solutions to complex problems

Walichokifanya Simba wito kwa Yanga, tatizo ambalo linahitaji njia nzuri mbadala, THE WORLD IS DIGITAL

Hii ni kwa mujibu wa course nzuri sana kwenye JOURNALISM inaitwa DATA JOURNALISM, haina kelele sana ila ukweli uliotokana na Research

Screenshot_20220615-201053_OGInsta%2B.jpg
 
YANGA SC YAJITOA NANI ZAIDI YA AZAM PAY TV.

Taarifa zimasema Klabu ya Yanga imejiondoa kwenye Shindano la kuchangisha pesa kati yao na watani zao Simba SC (NANI ZAIDI).

Inasemekana Yanga wameandika barua kwa waandaji Azam PayTV wakieleza kujitoa na sababu za kufanya hivyo wakawanakilishi pia Klabu ya Simba.

Mpaka sasa Simba walikuwa wanawaburuza Yaanga kwa mbaali sana kwenye shindano hilo la "Upatu".
Screenshot_20220615-201705_OGInsta%2B.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom