BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Tunashukuru Ubarikiwe Mungu akuongezee palipopunguaOooooh! I got it mama..
Nimeinunua juzi na jana nilipost humu..
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Tunashukuru Ubarikiwe Mungu akuongezee palipopunguaOooooh! I got it mama..
Nimeinunua juzi na jana nilipost humu..
Bado vipoasante sana, kile kipindi cha magazeti na leo katika historia bado kipo?
GoodUnajua mimi niko Ok,hapa nimejifunza Upendo na mshikamano,ila pia nimejifunza kuna kauli ndogondogo za utani kama mtu hana MSULIWA IMANI ,HAKIKA ANAJISIKIA VIBAYA,NA UBAYA HAKUNA SANDUKU LA MAONI....Tunaweza tukasema ok watu wawepo wasiwepo Kapuku itakuapo,lakini kuna faida gani mtu ajisikie kuwa hana umuhimu wakati tayari MUNGU ALITUWEKA PAMOJA?IPO SABABU YA KUENDELEA KUWA PAMOJA AT ANY COST...MARA NYINGI HUWA NATOA ANGALIZO..ULIMI KIUNGO KIDOGO LAKINI KINALETA MAFARAKANO WHY?KWAKUA KILA MTU ANANAMNA YA KUTAFSIRI MAMBO..TUMUOMBE SANA MUNGU KUCHUNGA KAULI ZETU
KUNA MAMBO YA UTANI KABISAAAA NA YATABAKI UTANI
ILA KUHUSU SIMU..NI KWELI HAZILINGANI HAPA KUNA WENYE LAPTOP,DESKTOP,IPAD NK WENYE TECNO ,HUWAEI..WAKIONA HV WANAONA HEE KUMBE MIMI MNYONGE...
MI UKIONA KASIMU KANGU UTACHEKA,LAKINI NIKO POA TU..NA TUPO PAMOJA LKN NAKUHAKIKISHIA KUNA WAKATI HUWA NAWAZA NINGEKUA NA LAPTOP INGEKUA VIZURI ZAIDI..SO TUSAIDIANE MAHALI HAPA PAWE PEMA NA SALAMA![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaaaa! Kama Naona betri chini ya meza![]()
Mwenyewe naumia kweeeli na hii werevaa yangu.... T ndo hataki kabisaa kuninunulia Samsung Galaxy navumilia tu hivi vijembee vya jf siku inapita

Wachina wanatisha sana7/Agricultural Bank of China Ltd![]()
![]()
![]()
Wachina tena !!!
Hawa jamaa kwenye masuala ya kibenki washajiimarisha tukizubar tu tutakuta tunajazana kwenye benki zao kuweka pesa
Baada ya kuwa na benki kubwa ya viwanda na biashara(ICBC) sasa tupo kwenye benki ya Wakulima(kilimo)
Wakati bongo ngobjera za kilimo nyingi bila vitebdo matokeo yake wakulima hawana pembejeo wenzetu wao ni vitendo tu(saying loud doing nothing).....wenzetu ni doing everything talking nothing
Kwa mwaka benki hii ya kilimo mapato yake hufikia USD 68 billion
Imeajiri watu 479,000
.
Wakulima wa bongo msione wivu.... endeleeni kuozewa na nafikiri yenu
Hamjalazimishwa kulima !!!
........
Wachina wanabidii sana na kaziBaada ya Wayahudi nafikiri Kwa IQ wanafuata Wachina
Hawa ni janga Kwa dunia
.....
10/McDonald's Corp.![]()
Kwa watoto wa kiahua au watu waliozoea mboga saba hakuna asiyeijua McDonald's ....ni kampuni kubwa ya migahawa iliyosambaa duniani![]()
Ni kampuni inayomilimiwa na Wamarekani na ambayo Kwa mwaka hupata mapato yanayokadiriwa kufikia USD 28.2 Billion
Imeajiri wafanyakazi takribani 440,000 katika ajira rasmi ila wapo wengine takribani milion wanaoitegemea kuendesha maisha yao
Demu anayetaka pizza anifuate PM
......

Pembe tatu kwenye ubora wakoEwaaaa
Sawa kabisaHuwa wanatangaza ,wakitangaza nitakwambia maana inaonekana kuna watu fulani huitwa mimi niliitwa na rafiki yangu fulani
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kwema tu karibunimewamiss sana makapuku wenzangu muda mrefu sijaingia huku, kwema wote?
Shukrani kwa 10 kubwa Bitoz1/Wal--Mart Stores Inc![]()
![]()
![]()
Wamiliki ni Wamarekani
Ndiyo kampuni iliyoajiri watu wengi zaidi duniani.......Kwa Marekani imeiacha mbali McDonalds Kwa wingi wa wafanyakazi au pengine na kimapato
Inajihusisha zaidi na uuzaji wa bidhaa za rejareja(retail trade}
Hawa jamaa ndio wamiliki wa Walmart,Sam's Club na biashara kibao
Kwa mwaka huingiza takribani USD 480 Bilioni
Imeajiri zaidi ya watu 2,200,000
.
.
.
.
.
Shukrani Kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Kwa vijembe tu,unatisha9/Industrial and Commercial Bank of China Ltd![]()
![]()
![]()
Hii ni benki kubwa inayomilikiwa na Wachina achana na Exim Bank Wachina wameshajipanga kuitawala dunia kiuchumi na sasa wapo juu wakati Kwa bongo viwanda vipo magazetini tu wenzetu wana benki ya viwanda na biashara
Mapato yake hifikia USD 90 billion
Imeajiri watu 442,000
Pesa huna unamiliki akaunti benki ya nini? Utawekea matofali ?
.......
Aisee, ndio yule mkimbizi aliyeko uhamishoni marekani Gurleng6/Compass Group PLC![]()
![]()
![]()
Ni kampuni ya Waingereza
Imewekeza katika huduma mbalimbali{Group of Companies) mfano wamewekeza kwenye elimu kamaFeza Schools
Ina natawi katika nchi zaidi ya 50 duniani kote
Kwa mwaka mapato yake hufikia USD 28 Billion
Imeajiri watu takribani 200.000 Amerika Kaskazini pekee
Imeajiri watu 506,000 duniani kote
......
AiseeWanaume wameumbiwa mateso
Aliona mbali4/Volkswagen AG![]()
![]()
![]()
Ilianzishwa wakati wa utawala wa Kinzi huko Ujerumani
Dikteta Adolf Hitler alitamani kila Mjerumani aendeshe gari na kutambua mjini badala ya kuzungusha pedali za baiskeli na akafanikisha azma yake Kwa kuanza na uzalishaji wa magari ya gharama nafuu
Kwa mwaka huzalisha/huunda magari takribani Milioni kumi
Imeajiri watu zaidi ya 560,000
..........
Mukongo mamboBwana Yesu asifiwe, wapendwa![]()