shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Duh aisee3/Randstad Holding NV![]()
Ni kampuni ya Kiholanzi inayojihusisha zaidi na kutumikisha watu(human resources)![]()
Yaani ni kama ma kampuni ya hapa bongo yanayosambaza watu maofisini ila hii ni ya kimataifa ukiwa na matawi zaidi ya 3000 duniani kote
Anaingiza mkwanja unaofikia USD 23 billion
Imeajiri watu takribani 600,000
.......