Makapuku Forum

Makapuku Forum


Jimena, mimi nawe tumepitia vipindi vinavyofanana, wale watu wametuacha tukiwa bado tuna wahitaji, najua unahitaji mtu sahihi,
Najua unataka furaha inayozidi
Unahitaji wa kukuita lile jina
Nafsi yako yahitaji changamko
Moyo unatamani kusikia neno tamu.
Wakuyafanya haya ni mimi,
Ninaweza Jimena
Unaweza kunifanya mwenye furaha
Upendo hufunika mapungufu hivyo fujo zako sitafunikwa na mapenzi wala haxitanikwaza
Nakupenda eti Jimena
Nashindwa hata niandikeje
Mikono haina nguvu kwa shauku iliyozidi Jimena.
Malizia Jimena wangu.
Mimi nawe tumeona mengi na yametufunza, kilichobaki ni kushikana na KUPENDANA
I LOVE YOU JIMENA
Ewaaaa
 
6/Compass Group PLC
8484e18824ef88cc49117f156e12a09e.jpg
e3079663aae79e355af44a293db7edcf.jpg
4518ed8ed53393131e5eda77cec30b7f.jpg

Ni kampuni ya Waingereza
Imewekeza katika huduma mbalimbali{Group of Companies) mfano wamewekeza kwenye elimu kamaFeza Schools
Ina natawi katika nchi zaidi ya 50 duniani kote
Kwa mwaka mapato yake hufikia USD 28 Billion
Imeajiri watu takribani 200.000 Amerika Kaskazini pekee
Imeajiri watu 506,000 duniani kote
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom