Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Usiache mbachao.................Usijali
Mbona nshavunja tayari.... Na hii werevaa nimeitupa kwa furaha love
Usiache mbachao.................Usijali
Mbona nshavunja tayari.... Na hii werevaa nimeitupa kwa furaha love
Eba eeeh! Naonan jibu kabisaDo you love me??
Uzuri wachina wanajua kutoa vitu kulingana na vipatoWachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........
Itakuwa mirinda nyeusi huyuMama unakunywaga soda gani
Mchina keshatawala AfrikaUzuri wachina wanajua kutoa vitu kulingana na vipato
Kina Scania wao wanajali ubora tu
Kitu ambacho sio rahisiWachina inabidi wauawe km Wayahudi labda ndo dawa pekee ya kuwauzia
.....
Hilo nalo neno ujueUsiache mbachao.................
HahahaEba eeeh! Naonan jibu kabisa
Baada ya Wayahudi nafikiri Kwa IQ wanafuata WachinaChinese are so conscious with market price..
Chinese wana target low price consumers..!
They produce what you can afford, whether in a longterm or shortterm..
Thus why product aanzopeleka marekani ni tofauti na anazoleta Africa
Exactly! Kumbe unajua mamboHeb wacha hizo basi...
Au mpaka tukakufungulie uzi kule MMU?

HahahaItakuwa mirinda nyeusi huyu
WoyoooooDo you love me??
Inabidi aongeze utunzi. Mashairi yashibe yawe yale ya kumtoa nyoka pangoni![]()
Ooh! I am doing cool bruh, how's yo day bruh?
Nimefurahi kusikia haya...
Maana hata mi nilipoambiwa kuwa kuna ujumbe wangu umeniachia basi nilipatwa na shauku kubwa
Lakini wewe unanijua vizuri nilivyo stubborn sasa kuamua kwako kujilipua kumenishangaza

Acha kumtesa KakanguNipoo![]()
![]()
![]()
Mambo mazuri hayataki baraka ujueHebu mjibu Kakangu bhasi
Poa PoaMambo mazuri hayataki baraka ujue