BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Kha!mbona wanafanana hivyo
Kha!mbona wanafanana hivyo
It was NEWS ALSO
Kumbe!Yule ni "mtu wao" ndo muvi imeishia hapo
Hakuna hukumu wala nini
.......
Shunie anakusalimia.... Na wana kapuku wooote....
Safi sana,hayo ndiyo mambo ya kuwafanyia binadamu wenzako
Niko vizuri, Asante my swiHope umeshinda salama,pole na kazi
I SEE....ni wapi huko,maajabu ya dunia
Asante mdau Bitoz kwa Elimu nzuri ubarikiweEnd![]()
......
Kwa heshima yako ntafanya hivyo dia.... Asante kwa taarifaJj
Naomba kwa moyo mmoja utafute comments za jana za Kakangu QUIGLEY.... Kuna ujumbe wako mzito mnoo.....
Nakuomba
Unajua mimi niko Ok,hapa nimejifunza Upendo na mshikamano,ila pia nimejifunza kuna kauli ndogondogo za utani kama mtu hana MSULI![]()
![]()
pole mama vijana walikuwa wanataniana
WA IMANI ,HAKIKA ANAJISIKIA VIBAYA,NA UBAYA HAKUNA SANDUKU LA MAONI....Tunaweza tukasema ok watu wawepo wasiwepo Kapuku itakuapo,lakini kuna faida gani mtu ajisikie kuwa hana umuhimu wakati tayari MUNGU ALITUWEKA PAMOJA?IPO SABABU YA KUENDELEA KUWA PAMOJA AT ANY COST...MARA NYINGI HUWA NATOA ANGALIZO..ULIMI KIUNGO KIDOGO LAKINI KINALETA MAFARAKANO WHY?KWAKUA KILA MTU ANANAMNA YA KUTAFSIRI MAMBO..TUMUOMBE SANA MUNGU KUCHUNGA KAULI ZETU

Asante mamy... Kakangu hajiwezi kabisaa hebu tafuta comment namba 233415 ilibidi niikariri sababu yako tuuuKwa heshima yako ntafanya hivyo dia.... Asante kwa taarifa
Asante Sakayo hata mm nmemic sana msalmie jamaaaniShunie anakusalimia.... Na wana kapuku wooote....
Mwenyewe naumia kweeeli na hii werevaa yangu.... T ndo hataki kabisaa kuninunulia Samsung Galaxy navumilia tu hivi vijembee vya jf siku inapitaUnajua mimi niko Ok,hapa nimejifunza Upendo na mshikamano,ila pia nimejifunza kuna kauli ndogondogo za utani kama mtu hana MSULIWA IMANI ,HAKIKA ANAJISIKIA VIBAYA,NA UBAYA HAKUNA SANDUKU LA MAONI....Tunaweza tukasema ok watu wawepo wasiwepo Kapuku itakuapo,lakini kuna faida gani mtu ajisikie kuwa hana umuhimu wakati tayari MUNGU ALITUWEKA PAMOJA?IPO SABABU YA KUENDELEA KUWA PAMOJA AT ANY COST...MARA NYINGI HUWA NATOA ANGALIZO..ULIMI KIUNGO KIDOGO LAKINI KINALETA MAFARAKANO WHY?KWAKUA KILA MTU ANANAMNA YA KUTAFSIRI MAMBO..TUMUOMBE SANA MUNGU KUCHUNGA KAULI ZETU
KUNA MAMBO YA UTANI KABISAAAA NA YATABAKI UTANI
ILA KUHUSU SIMU..NI KWELI HAZILINGANI HAPA KUNA WENYE LAPTOP,DESKTOP,IPAD NK WENYE TECNO ,HUWAEI..WAKIONA HV WANAONA HEE KUMBE MIMI MNYONGE...
MI UKIONA KASIMU KANGU UTACHEKA,LAKINI NIKO POA TU..NA TUPO PAMOJA LKN NAKUHAKIKISHIA KUNA WAKATI HUWA NAWAZA NINGEKUA NA LAPTOP INGEKUA VIZURI ZAIDI..SO TUSAIDIANE MAHALI HAPA PAWE PEMA NA SALAMA![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante mama mchungaji hakika busara zako zinahitajika mahali hapa,kikubwa tuishi kwa kuchukulianaUnajua mimi niko Ok,hapa nimejifunza Upendo na mshikamano,ila pia nimejifunza kuna kauli ndogondogo za utani kama mtu hana MSULIWA IMANI ,HAKIKA ANAJISIKIA VIBAYA,NA UBAYA HAKUNA SANDUKU LA MAONI....Tunaweza tukasema ok watu wawepo wasiwepo Kapuku itakuapo,lakini kuna faida gani mtu ajisikie kuwa hana umuhimu wakati tayari MUNGU ALITUWEKA PAMOJA?IPO SABABU YA KUENDELEA KUWA PAMOJA AT ANY COST...MARA NYINGI HUWA NATOA ANGALIZO..ULIMI KIUNGO KIDOGO LAKINI KINALETA MAFARAKANO WHY?KWAKUA KILA MTU ANANAMNA YA KUTAFSIRI MAMBO..TUMUOMBE SANA MUNGU KUCHUNGA KAULI ZETU
KUNA MAMBO YA UTANI KABISAAAA NA YATABAKI UTANI
ILA KUHUSU SIMU..NI KWELI HAZILINGANI HAPA KUNA WENYE LAPTOP,DESKTOP,IPAD NK WENYE TECNO ,HUWAEI..WAKIONA HV WANAONA HEE KUMBE MIMI MNYONGE...
MI UKIONA KASIMU KANGU UTACHEKA,LAKINI NIKO POA TU..NA TUPO PAMOJA LKN NAKUHAKIKISHIA KUNA WAKATI HUWA NAWAZA NINGEKUA NA LAPTOP INGEKUA VIZURI ZAIDI..SO TUSAIDIANE MAHALI HAPA PAWE PEMA NA SALAMA![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ataitika mamyAsante Sakayo hata mm nmemic sana msalmie jamaaani
Unajua mimi niko Ok,hapa nimejifunza Upendo na mshikamano,ila pia nimejifunza kuna kauli ndogondogo za utani kama mtu hana MSULIWA IMANI ,HAKIKA ANAJISIKIA VIBAYA,NA UBAYA HAKUNA SANDUKU LA MAONI....Tunaweza tukasema ok watu wawepo wasiwepo Kapuku itakuapo,lakini kuna faida gani mtu ajisikie kuwa hana umuhimu wakati tayari MUNGU ALITUWEKA PAMOJA?IPO SABABU YA KUENDELEA KUWA PAMOJA AT ANY COST...MARA NYINGI HUWA NATOA ANGALIZO..ULIMI KIUNGO KIDOGO LAKINI KINALETA MAFARAKANO WHY?KWAKUA KILA MTU ANANAMNA YA KUTAFSIRI MAMBO..TUMUOMBE SANA MUNGU KUCHUNGA KAULI ZETU