Makapuku Forum

Makapuku Forum

60b175f70f18f89ba80ad71e4495f82f.jpg
I'm always here for you lovie...

Mie werevaa ndo siitaki teeena
 
MATHAYO 20

32.Yesu Akasimama,akawaita akasema mnata niwafanyie nini?

33.Wakamwambia ,Bwana twataka macho yetu yafumbuliwe.

34.Yesu alawahurumia ,akawagusa macho yao;mara wakapata kuona,wakamfuata

BABA asante kwa somo jioni hii ya leo.

Tunaweza kujiuliza kwanini Yesu aliwauliza swali hili hali akijua ni vipofu?

Ingawa ni vipofu hitaji lao lingeweza lisiwe la kuona.

Nia ya Yesu ni utambue hitaji lako na kulitaja wazi mbele zake.

Sasa YESU anakuuliza nawe,pamoja na kuwa anaifaha mu hali unayopitia lakini anataka kusikia toka kinywa chako,nia yake ni wewe kueleza shida zako kwa kinywa chako na kutaja wazi mbele yake.

Anakuuliza unataka akufanyie nini?

Mwambie hitaji lako sasa,ATAKUSAIDIA.

JIONI NJEMA MBARIKIWE

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Amen! Asante sana
 
9/Industrial and Commercial Bank of China Ltd
a1d697309ccc40ec9476de0689b4381d.jpg
73c7197402fcd2c78e97b010775c10a4.jpg
f4feac0e0be54bd70359595cb8c3c661.jpg

Hii ni benki kubwa inayomilikiwa na Wachina achana na Exim Bank Wachina wameshajipanga kuitawala dunia kiuchumi na sasa wapo juu wakati Kwa bongo viwanda vipo magazetini tu wenzetu wana benki ya viwanda na biashara
Mapato yake hifikia USD 90 billion
Imeajiri watu 442,000

Pesa huna unamiliki akaunti benki ya nini? Utawekea matofali ?
.......
 
MATHAYO 20

32.Yesu Akasimama,akawaita akasema mnata niwafanyie nini?

33.Wakamwambia ,Bwana twataka macho yetu yafumbuliwe.

34.Yesu alawahurumia ,akawagusa macho yao;mara wakapata kuona,wakamfuata

BABA asante kwa somo jioni hii ya leo.

Tunaweza kujiuliza kwanini Yesu aliwauliza swali hili hali akijua ni vipofu?

Ingawa ni vipofu hitaji lao lingeweza lisiwe la kuona.

Nia ya Yesu ni utambue hitaji lako na kulitaja wazi mbele zake.

Sasa YESU anakuuliza nawe,pamoja na kuwa anaifaha mu hali unayopitia lakini anataka kusikia toka kinywa chako,nia yake ni wewe kueleza shida zako kwa kinywa chako na kutaja wazi mbele yake.

Anakuuliza unataka akufanyie nini?

Mwambie hitaji lako sasa,ATAKUSAIDIA.

JIONI NJEMA MBARIKIWE

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Amen......jion njema kwako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom